Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesahau hapa pia ni Arusha. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
screencapture-www-google-com-maps-1-3755025-36-9241981-3a-75y-29-81h-98-9t-data-3m6-1e1-3m4-1s...png
 
I guess Sasa hutawaiiba picha za Kenya 😂😂🤣😂
Mimi nimeshafika personally kwenye office yao ya Arusha zinafanana sana na za Nairobi kwa kila kitu na wenyewe kwenye page wameandika ni office za Arusha that gave me assurance lakini bado jiko lipo Tanzania hata ulie 😆
 
You don't manufacture anything. Actually what is done in Tanzania is just body elongation. The actual vehicle is made in Kenya by Toyota Kenya.
Kenya hakuna motor vehicle manufacturing industry.Nadhani bado hujajua tofauti ya kuassemble na manufacturing
 
Sasa huoni kama zinafanana? Na kwani ni uongo kwamba Arusha and Njiro in specific as I specify earlier hawana showrooms?

I mentioned Njiro even before I brought pictures
Wacha uongo. 🤣 🤣 🤣 Wewe tunakujua vizuri sana kwa ujeuri wako.

No photo description available.
 
I have not followed this war much but from the little I have gathered online, Russia really underestimated the Ukrainian forces and didn't anticipate the kind of resistance and resilience Ukrainian forces have shown so far.
The Ukranians were no match for Russians had it not been assistance in terms of weapons and intelligence from the west they would have been wiped out long ago. All in all I do not support the war Putin is crazy and he needs to go.
 
Sasa huoni kama zinafanana? Na kwani ni uongo kwamba Arusha and Njiro in specific as I specify earlier hawana showrooms?

I mentioned Njiro even before I brought pictures
Tanzania mnarefurbish tu. Sio jambo kubwa hilo.
 
The Ukranians were no match for Russians had it not been assistance in terms of weapons and intelligence from the west they would have been wiped out long ago. All in all I do not support the war Putin is crazy and he needs to go.
I don't support it too. War is an ugly thing
 
Back
Top Bottom