Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We have Nyoro Construction Company. Sisi hatujigambi na makampuni za wahindi. In Tanzania all the construction companies are owned by Indians 🤣🤣😂
f4ea580f-0a97-435a-9ca6-53a71be78dc5-1020x612.jpeg
buses.jpg

Hawa ndo wanataka tushindane kweli jmn? Em angalieni wenyewe jmn
20220501_105206.png
20220501_105227.png


Postini na basi zenu naona mmekomalia mabasi ya wabongo wakat uko kwenu mnapanda masufuria yenye tetenas
 
The same UN bodies say 42% of Kenyans live below poverty line, only 26% of Tanzanians live below, which one do you take?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So unamaanisha kwamba 26% of Tanzanians equals 28 million people? Meaning there are more than 100 million people in Tanzania? Wewe jinga type sana

Screenshot_20220501-110859~2.png
 
Ebu tuonyeshe kampuni ya muafrika huko Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji23]
What do you understand "muafrika?", Kwako wewe muafrika maana yake "black sio?". Huo ubaguzi wenu ndio sababu hata blacks kwa blacks mnaanza kubaguana Kati ya Jaluo na Kikuyu, ukishaanza ubaguzi huwezi kusimama, mtaanza ubaguzi wa rangi, kabila, dini na maeneo mlikozaliwa, hiyo ni laana ya Kenya Mungu amewazawadia msijaribu kutuambukiza.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
What do you understand "muafrika?", Kwako wewe muafrika maana yake "black sio?". Huo ubaguzi wenu ndio sababu hata blacks kwa blacks mnaanza kubaguana Kati ya Jaluo na Kikuyu, ukishaanza ubaguzi huwezi kusimama, mtaanza ubaguzi wa rangi, kabila, dino na maeneo mlikozaliwa, hiyo ni laana ya Kenya Mungu amewazawadiwa msijaribu kutuambukiza.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mhindi sio mwafrika.
 
Back
Top Bottom