xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
Daraja linaitwa tanzanite so lilkua halfanani na jina lake samia akashauri liekewe alama ya tanzanite ili kuleta maana kamiliWacha waweke Tanzanite ili kumarket madini yenu ambayo inapatikana Tanzania pekee. Sasa mwenge ni ujinga gani hadi mkasirike kwamba inatolewa? Hamjui kwamba daraja hili ni a big marketing opportunity kwa nchi yenu.
No one to blame uo mwenge ulkua kwe ramani ya daraja!!

