tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nionyeshe freeway apo NairobiDanganyika hakuna freeway au expressway kuna dual carriage roads like those found in any shithole city across the globe
Nionyeshe freeway apo NairobiDanganyika hakuna freeway au expressway kuna dual carriage roads like those found in any shithole city across the globe
Times Tower inamilikiwa na watanzania?Mkunya hawezi kujenga jengo lolote sababu akili ya kujenga hawana wakati Tanzania majengo mengi marefu na makubwa yamejengwa na Watanzania wenyewe
Runway ya JKIA haina capacity ya ku-handle massive aircraft!When will this mabati rolling Mill handle at least 3M passengers?😂😂🤣🤣
Kila siku runway lighting system JKIA zinazima tatizo nn?
Wacha waweke Tanzanite ili kumarket madini yenu ambayo inapatikana Tanzania pekee. Sasa mwenge ni ujinga gani hadi mkasirike kwamba inatolewa? Hamjui kwamba daraja hili ni a big marketing opportunity kwa nchi yenu.Wataweka tanzanite!
Giza totoro kwenye JNIA airport.Hehehe modern airport haina lights😂😂🤣😂. Alafu mbona hapo kwa "International Airport" haiwaki?🤣🤣😂
View attachment 2206340
😂😂 Your superstar confessing.. ukumbuke huyo yuko na exposure kukuzidi we nyang'au mlala hoi hapo kibera. Listen to him 👇.
Usiongee matope. Unadhani Kenya hatuna architect anayeweza kudesign skyscraper kama hio? Wewe bado una umri mdogo nakuelewa. Nikupe habari tu kwamba architect aliyedesign Pssf tower yenu ni Mkenya. Pia bunge lenu la sasa limechorwa na architect Mkenya.Kwa hapo kwenu jengo kali kama hili 👇 lazima Lowe limetengenezwa na mchina.. but this ni wabongo wenyewe 👇View attachment 2206337View attachment 2206338View attachment 2206339
Ati? In all of her existence has JKIA ever hosted A380 or AN 225? If not why?
Kuna Nairobi expressway na thika road ni free way. Ebu nionyeshe njia yeyote ya maana danganyika land?Nionyeshe freeway apo Nairobi
Wewe umekuja kwenye hili jukwaa juzi. Kama ungekuwa huku kuanzia 2017,2018 basi hizi battle tayari tulishayamaliza. Wakenya walishapost evidence kwamba Mkenya ndiye aliyeidesign pssf tower yenu ambao ndio the most beautiful building in Tanzania.Jina la jengo ni PSSSF tower nenda utafute nani mwenye alijenga ... Ni assignment ndogo nimekupa
JKIA ikona special boarding gate for A380 na 747-8 JNIA haina, si mitumia ngazi for this emergency landing.![]()
![]()
![]()
![]()


jnia ni kibanda cha kuku na serikali inahamia dodoma. 2m passengers soon Mombasa itaipita.Hata vyoo mnavyo kwa slums! Sasa kama runway haiwezi mudu A380 what's the point of having airbridges? Au una maanisha zile ramps? Plse Show me those gate! 🤣 🤣 🤣JKIA ikona special boarding gate for A380 na 747-8 JNIA haina, si mitumia ngazi for this emergency landing. 🤣 🤣 🤣 🤣
Ila pssf tower ilikuwa designed na Mkenya. Sasa kajinyonge basi. Kujenga hatuwezi kujenga lakini kuchora majengo tupo sawa. Hata bunge lenu la sasa limechorwa na Mkenya. Kwanza Mkenya mweusi sio Mwarabu.Mkunya hawezi kujenga jengo lolote sababu akili ya kujenga hawana wakati Tanzania majengo mengi marefu na makubwa yamejengwa na Watanzania wenyewe
JKIA ikona 4km runway na 60m wide. The longest in the region, wacha kujiletea aibu.Hata vyoo mnavyo kwa slums! Sasa kama runway haiwezi mudu A380 what's the point of having airbridges? Au una maanisha zile ramps? Plse Show me those gate! 🤣 🤣 🤣
And yet A380 and AN 225 can't land!JKIA ikona 4km runway na 60m wide. The longest in the region, wacha kujiletea aibu.
Runway ya JKIA haina capacity ya ku-handle massive aircraft!