joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huwa Tony254 ananishangaza Sana, hata maana ya soft loan hajui[emoji1][emoji1][emoji1], eti $1.5B haiwezi kuwa soft loan kwasababu ni pesa nyingi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unless uwe hujui maana ya soft loan [emoji23]
Nacho sema tulikuw na matatizo yanayo fanana kwa kiasi kikubwa, pia nikweli walitutangulia lkn sio kwa pace hiii....hata ile 1970s walivyo kuja kujenga ile railway uku iliprove kuwa wamesogea zaidi yetu ...lakini sio kwa pace hiii[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na Japan
Fikiria somo la mathematic historically ilianzia Afrika, vitu km kalenda vilianzia huku sasa mbona tumekwama kinzi sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na Japan
Tofautisha kati ya Lamu Island na Mainland.
Okay professor wa group. Kama unaningoja to engage you in this topic then I'm sorry. Today I'm not available.Wewe ni chini ya wanafunzi wangu niliwafundisha, hujui lolote kuhusu medical science zaidi ya kukusanya specimen za kinyesi cha binadamu ili kuchungulia kwenye darubini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe punguza ujinga wako, juzi hapa mlishabikia Gwajima kule bungeni akisema Tanzania haina "long term vision', kila rais anafanya mipango yake. Wakenya Kama kawaida yenu kutokana na upumbavu wenu mkashabikia upuuzi wa Gwajima, tuliwaonyesha "long term vision ya Tanzania mkainamisha vichwa chini.Usichokeshe vidole tena ukitype ufala, soma hii hapa kutoka kwa mtanzania ambaye anaelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ni chini ya wanafunzi wangu niliwafundisha, hujui lolote kuhusu medical science zaidi ya kukusanya specimen za kinyesi cha binadamu ili kuchungulia kwenye darubini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Alafu naomba uzoom vzr ili ujue ni ndege gani hyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teargas ***** nairobae angalia hapa soja naenda kupeleka karatasi ili ndege iruke, yn bila mm soja ndege hairuki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2201722View attachment 2201723
Sojaaa, kazi safi kuonyesha abiria directions. 👏Teargas ***** nairobae angalia hapa soja naenda kupeleka karatasi ili ndege iruke, yn bila mm soja ndege hairuki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2201722View attachment 2201723
Local goverment zenu Zina Bunge?Mzee local government sio majina ya viongozi, ni muundo kamili wa serikali kuanzia utawala, uratibu, mipango, mapato na umiliki wa mipaka (administrative boundaries)
Local government ya Tanzania ina budget yake tofauti, construction projects zake kama barabara (hizo kwenye video) schools, hospitals, bus terminals, public markets, public parks, public transportation, social economic investments na mambo mengine mengi ambayo hayahusiani na central government.
Unajiumiza bure, mm co size yako, kwahiyo soja huwa anaonesha abiria pa kwenda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sojaaa, kazi safi kuonyesha abiria directions. [emoji122]
Yes.Unajiumiza bure, mm co size yako, kwahiyo soja huwa anaonesha abiria pa kwenda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua wewe ni mjinga saaaaana lakini fanya hesabu za haraka. 40% of 50 million people is 20 million. Sasa kati ya 20 million Kenyans na 28 million Tanganyikans ni wapi umaskini imekithiri?hebu imagine muko huku ??🤣🤣🤣
Watakumbia ni data za kupikwa