dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Lower level kwa Tanzania ni serikali za mitaa au vijiji ndio kazi ya TAMISEMI (tawala ya mikoa na serikali ya mitaa) kwa mfano TANROAD wanadeal na central government kwenye miundombinu ya barabara lakini TAMISEMI wapo na TARURA kuangalia miundombinu mbinu ya barabara kwenye serikali za mitaa/vijiji . Yaani kuna taasisi kama hizo kwa level ya local government pia na kuna za kitaifa zote zipo independentTunaongelea wizara kwa lower level of government.
😂😂😂 Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na JapanKuna data nyingine zinafanya hata muhoji apa duniani tunafany nini kama wafrika?hawa jamaa walikuw almost equal na sisi miaka ya 60s, angalia walipo leo
Wanalipwa mshahara na nani?Lower level kwa Tanzania ni serikali za mitaa au vijiji ndio kazi ya TAMISEMI (tawala ya mikoa na serikali ya mitaa) kwa mfano TANROAD wanadeal na central government kwenye miundombinu ya barabara lakini TAMISEMI wapo na TARURA kuangalia miundombinu mbinu ya barabara kwenye serikali za mitaa/vijiji . Yaani kuna taasisi kama hizo kwa level ya local government pia na kuna za kitaifa zote zipo independent
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na Japan
Huku tulitumia neno "Madaraka mikoani", hatukutumia hiyo "terminology ya "Ugatuzi, Kama ukitumia "google" unaweza kuona huo mfumo wa "Devolution" kwa Tanzania ulitumika lini na kwanini ulishindikana.Devolution kwa Kiswahili ni Ugatuzi. Transfer of power to lower levels of government. Bongo rais ndio kunyamba nyinyi ni kunusa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
na hii bandari ndio inaenda kua mpinzani mkubwa wa mombasa port, time will tell
Wewe ni chini ya wanafunzi wangu niliwafundisha, hujui lolote kuhusu medical science zaidi ya kukusanya specimen za kinyesi cha binadamu ili kuchungulia kwenye darubini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ebu tingisha kichwa uconfirm kama Kuna kitu ndani. Wewe the only thing you know is making noise. The last time I had a debate with you was about albinism which you embarrassed yourself like no one's business.
hebu imagine muko huku ??🤣🤣🤣Huenda sisi ni masikini lakini we haven't reached this level of poverty
Almost half of extremely poor people in Sub-Saharan Africa live in just five economies:
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
https://t.co/62qUZvhgYG https://t.co/ENwgy2Jq50
Devolution has already proved failure in Kenya, corruption has increased twice, Government employees have increased frequencies of strikes due to delayed salaries, Government expenditure have increased exponentially(Punda amechoka kubeba mzigo), Tribalism has increasedDevolution has already worked and that's why you can see Kenya is far much ahead of Tanzania in every matrix.
Wewe ni chini ya wanafunzi wangu niliwafundisha, hujui lolote kuhusu medical science zaidi ya kukusanya specimen za kinyesi cha binadamu ili kuchungulia kwenye darubini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Lamu lini itapokea meli za Magari?
Weka bangi chini.na hii bandari ndio inaenda kua mpinzani mkubwa wa mombasa port, time will tell
na hii bandari ndio inaenda kua mpinzani mkubwa wa mombasa port, time will tell
US haina 70% of peeps under indescribable poverty like KenyansUmasikini ipo hata Amerika, just in case you forgot. Here we are talking about extreme poverty na hapo ndio mnawakilishi EA
Devoluted au devo worshippers wapo tu wanachanja miraa wanasubiri waletewe wazitapanye kama kawa ndio maana hamtoboiHiyo pesa ya central government inakusanywa kutoka hadi vijijini. Kumbafff
Usichokeshe vidole tena ukitype ufala, soma hii hapa kutoka kwa mtanzania ambaye anaelewa.Huku tulitumia neno "Madaraka mikoani", hatukutumia hiyo "terminology ya "Ugatuzi, Kama ukitumia "google" unaweza kuona huo mfumo wa "Devolution" kwa Tanzania ulitumika lini na kwanini ulishindikana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Au basiWashirika wa lamu waliingia mtini. [emoji23][emoji23][emoji23]
I knew you can't do anything because you know nothing.I wasn't correcting you fool, I was just reminding you that you are a just a good for nothing hater