Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,885
- 103,752
aisee wadanganyika tumewazoea sana kwa kuabudu hako ka nchi kenyu maxkini na serkali yenyu. tanganyika is a 'Self Proclaimed Developed Nation'Hakuna nchi inayozuia FDI kwasababu yoyote Ile, FDI mara zote inakuja Kama "complimentary not competition", Kila nchi inapambana kuvutia wawekezaji.
Tanzania tangu tupate uhuru tulikua hatujishughulishi Sana na kujenga uchumi, tulikua "busy" kujenga misingi imara ya taifa letu na kuzikomboa nchi za Africa
Hizo kazi zimekamilika, Sasa tunajenga uchumi. Ukweli ni kwamba 'Kenya time is over' ndio sababu kila kitu Kenya kinakua "upside down', ukiacha hiyo ya FDI, angalia biashara Kati ya Kenya na Tanzania, kwa miaka yote huko nyuma Kenya imekua ikiuzia Tanzania bidhaa nyingi zaidi, hivi Sasa 'Tanzania is the biggest exporter not only to Kenya, but to the entire region"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
heb skuma baci hizo vibes tuzione. tuone nani amebobea katika hii faniCaveman mpo kazini, kipi kisichokuepo Tanzania hapa? 🤣
Wewe ni mdada?
Sasa itakuaje ? Watalipaje deni la mchinaKenya Njaaa TupuView attachment 2199731
but i was the 1 taking her photo together with her friend at two-rivers mall in nov2020. umeridhika?Wewe ni mdada?
Kenya Njaaa TupuView attachment 2199731
Nina uhakika wakikaa hapo chini kwenye hilo Foleni kwa kuepuka 3,214 Tsh , hilo wese atakalopoteza anaweza kulinunua kwa hela nyingi zaidi baadae . Kwa hiyo Gridlock anaweza kanguliwa gari pia akapoteza muda mwingine na gari ikienda garage anarudi kwenye matatu
.
, Time is Money.
Wakulungwa [mention]ichoboy01 [/mention] [mention]chongchung [/mention] Hii picha ina maelezo mengi sana sana. Chuki kati ya Kenya na Somalia huwa deep sana. Ukisoma comment section ya hii tweet utaona jinsi zaidi ya nusu ya Wasomali kwenye comment section wamekasirishwa na kitendo cha Villa Somalia ambayo ndio state house yao kutweet kwa kusema pole kwa kifo cha Kibaki. Kenya na Somalia hazitawahi kupatana.