Hujui lolote na sina haja ya kukuelewesha, Mwanaume mzima unatoa facts kwa kusikiliza majigambo? Nipo kwenye financial institutions tokea namaliza chuo, technologies tunazotumia TZ kwenye financial institutions hakuna wa kucompare hapa EAC isipokua maneno ya mtandaoni ndio watu wanaamini ujingaUsipindishe ukweli mambo ya benki kenya wanatuzidi sana.
🚮🚮Don't rape him.
Kwani kua kwenye financial institution inabadili nn?Wewe unajua mambo ya Tz au taasisi inayokuhusu zaidi hapa hatuzungumzii uzalendo tunazungumzia uwezo nani anauwezo zaidi,stick on agendaHujui lolote na sina haja ya kukuelewesha, Mwanaume mzima unatoa facts kwa kusikiliza majigambo? Nipo kwenye financial institutions tokea namaliza chuo, technologies tunazotumia TZ kwenye financial institutions hakuna wa kucompare hapa EAC isipokua maneno ya mtandaoni ndio watu wanaamini ujinga
Ndio hii hapa. Very small city, drone shot moja tu inatosha kuonyesha kijiji mzima.
Nioneshe Kijitonyama kwenye hiyo video.Ndio hii hapa. Very small city, drone shot moja tu inatosha kuonyesha kijiji mzima.
Yaani wewe hata sikuchukulii serious, hunaga facts za maana kazi yako kulialia na uzalendo kama mzamiaji vile. Aliekufanyia mabaya msamehe kwanza then utaanza kuwa timamu. Kula ushibe, shughuli yako ngumuKwani kua kwenye financial institution inabadili nn?Wewe unajua mambo ya Tz au taasisi inayokuhusu zaidi hapa hatuzungumzii uzalendo tunazungumzia uwezo nani anauwezo zaidi,stick on agenda
Izo hapo
Acha uswahili bro niambie bank namba moja tz inamtaji kiasi gani alafu compare na bank namba moja ya Kenya. Porojo mingi za kazi gani hii sio udaku sectionYaani wewe hata sikuchukulii serious, hunaga facts za maana kazi yako kulialia na uzalendo kama mzamiaji vile. Aliekufanyia mabaya msamehe kwanza then utaanza kuwa timamu. Kula ushibe, shughuli yako ngumu
Huwez kuelewa..Hapana wanakusifu. Mbona usisome hizo comments ujue wanasifia nini.
Huu upuuzi wa culture tulishawaelewesha sana bado mnasahau, hii ni culture ya Indians from nature to the facts acheni tabia ya kudandia styles za wenzenu na kuziita zenuMatatu Culture imefika hadi Caribbean countries. Thousands of miles away.
Nlishaelezea hii point usinipotezee muda dogo, rudi post za nyuma kasomeAcha uswahili bro niambie bank namba moja tz inamtaji kiasi gani alafu compare na bank namba moja ya Kenya. Porojo mingi za kazi gani hii sio udaku section
Unataka kuona hizi ghorofa tano kando ya barabara. 🤣 🤣 🤣Nioneshe Kijitonyama kwenye hiyo video.
Na wewe unakuaga kama umeshapoteza homones za kiume, unashindwa kuelewa kuwa wana hapo wanaongelea k aka kenyaHata majirani wanazitamani, sema tu uwezo ndio hakuna😂
View attachment 2198078
View attachment 2198079
View attachment 2198080
Hawana kitu wanajua ni kuigaiga siku zote!Huwa wananchekesha wanaposema wameanzisha wao kuweka matakataka kwenye mabasi yao mabovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Piga hao umbwa 🤣🤣🤣
kwa hiyo alienda kuonana na huyo mmama mwenzake pia na baba yake Rihana?[emoji1787][emoji1787]Acha utoto wewe,hajaenda USA kwa ajili ya Biden bali kwa ajili ya Royal tour na kukutana na wafanyabiashara na Wakuu wa WB/IMF
Kwani ukiwa Rais ndio huwi Raia wa kawaida? Tzn ni nini kwa US?
Acha Rais afanye mambo ya msingi ya kutafuta wawekezaji, mfanyabiashara gani wa Taifa kubwa atahangaika kukutana na Waziri kwenye Nchi za Afrika?
Dangote kwa miaka yote akija Dar huwa anakutana na Kikwete, Magufuli na Samia ,hakuna cha Waziri wala Balozi..
Hata Rais alipoenda Dubai na Egypt alikutana personally na wafanyabiashara wakubwa na matunda tuliyaona..
Nchi za kiafrika ni maskini na hazina sera za kutabirika so ni lazima wapate uhakika kutoka kwa Rais sio Waziri,,Bilionea hawezi msikiliza Waziri ..
Chapa kazi Rais wanaobeza wataona matokeo baadae kama tuu ambavyo kwa mwaka mmja amewashangaza Sukuma gang and the likes wenye akili ndogo za kujitutumua wakati ni useless..[emoji116]
View attachment 2197656
View attachment 2197657
View attachment 2197658
View attachment 2197659
View attachment 2197660
View attachment 2197669
View attachment 2197670
Hiki kipigo ni zaidi ya kile cha mwaka juzi 🤣 🤣 🤣Tony anasema wao wameanza miaka ishirini iliyopita? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka 2000s?? Kuna wakulungwa wa Manila Phillipines na Jeepney zao wameenza baada ya Vita ya pili ya Dunia.
View attachment 2198352