Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Matatu Culture imefika hadi Caribbean countries. Thousands of miles away.


eti kuna mwenye anadai tume copy paste pakistan. yani nimecheka yangu yote 🤣🤣🤣


View attachment 2198116
View attachment 2198112View attachment 2198113View attachment 2198115
Sasa mnafikiri hiki kitu mmevumbua ninyi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kitu wakenya ni mnaongoza duniani nafikiri ni ushamba uliotukuka, yaani ninyi watu ni washamba sijapata kuona

Haya mambo yapo huko Asia Karne na Karne na wala hamwakuti hata robo

Thailand hii









 
Wao ndio wanatucopy. Wao wameanza juzi. Sisi uchoraji kwenye mabasi tulianza zamani sana. Zaidi ya miaka ishirini iliopita.
 
Washamba ni nyie hahahaaa kuna mwamba mmoja nilipiga nae kazi ni Mkenya anaitwa Ongoma asee alikua mshamba kikudaa. Yaani nyie bora hata wa Ug
Wakunya by nature ni cavemen 😂😂😂😂 Yaani ni washamba bushmen wa gods must be crazy wanasubiri, angalia kuanzia ongea yao mpaka vaa yao 😂😂😂 primitives to the core 🤣🤣🤣
 
Huwa wananchekesha wanaposema wameanzisha wao kuweka matakataka kwenye mabasi yao mabovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakunya by nature ni cavemen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani ni washamba bushmen wa gods must be crazy wanasubiri, angalia kuanzia ongea yao mpaka vaa yao [emoji23][emoji23][emoji23] primitives to the core [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata mimi nawapa kongole kwa hizo arts ,ni matangazo mazuri ya utalii wa ndani na tamaduni..

Tanzania tuige hii ni nzuri badala ya kuweka upuuzi wa Yanga na Simba,maneno ya kejeli,Ccm na chadema na kuchora akina Neymar mara Putin and such nonsense.
 
Watu wengi hawajui,US ni investor namba 3 hapa Tanzania toka Kitambo nyuma ya China na Kenya.
 
Huwa wananchekesha wanaposema wameanzisha wao kuweka matakataka kwenye mabasi yao mabovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni lack of exposure, haina tofauti na wanavyoona Nairobi ni matawi kumbe ni ushuzi wa bata, lack of exposure

Kuna kikundi cha Wakunya walianza trip yao kutoka kunyaland kwa mbwembwe kichizi baada ya kufika Dar na kuingia viwanja na kushuhudia namna Watanzania wanavyokula bata walizima fegi na kuanza kusifia Watanzania wanajipenda na wanaishi high life, 😂😂😂 Yaani toka hapo video zao zote mbwembwe kwishney 🤣 wapo wa nashangaa tu na kujisikitikia maisha yao back kunyaland
 
Wakunya by nature ni cavemen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani ni washamba bushmen wa gods must be crazy wanasubiri, angalia kuanzia ongea yao mpaka vaa yao [emoji23][emoji23][emoji23] primitives to the core [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaa yule jamaa Mkenya ikabidi tumtaftie ka manzi ka Kinondoni ndo kakaanza kumkataza kukaa kishamba na kuvaa manguo na ma viatu ya kishamba. Hawa jamaa sjui ni vp wanazidiwa hata na Warundi kwa Swag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…