Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao ndio wale waliwacharaza na panga kule Congo?
Kwa akili zako unadhani M23 ni easy easy kama vimilitants vya al shabab mnaopigana nao
M23 ni wanajeshi walioasi wako full training walikuwa wanamiliki hadi vifaru,mizinga sio hao Al shababu wanao ride toyota na kuweka machines gun juu et ndio mnakesha nao hadi leo

Hizo ni baadhi ya picha za hao M23 ziangalie halafu fananisha na al shabau 👇👇👇













 
Ndo maana Mimi Huwa na SEMA wa Kunya ni mbwa. Eti source👇👇👇Following 4, Followers 97.😀😀😀😀😀 Mbwa ni mbwa tu..Mnatengeneza vi account tweeter nakuleta humu. Mnamdanganya nani. JOINED::April 2022🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuwa jobless nayo kazi.
 
Duuh! Huyo jamaa ndo teargas? Kumbe mnashindana viumbe vya ajabu sana. Haiwezekani mtu ukawa na kazi alafu ikiwa upo JF 24/7. Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…