Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kericho is the place to be this weekend.
Africa's best DJ is in the town
Jaza stadi crew will be in green stadium for zoo kericho game
Kericho has more to offer..this is canaan

sent from iPhone 7
 
mnajitahidi ila bado......inabidi mkazee zaidi......maana kitu kinachowafanya kwa hiyo city muonekane mmejenga roads ni interchange,bypass na 1.highway ila ukitoa hayo madoido hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi has become an industrial City all over a sudden. You can see the skyline of the CBD from a distance
Jiji linaloishi watu, likigeuzwa kua jiji LA viwanda, sijui hali ya hewa itakuaje? Kule China ilibaki kidogo michezo ya Olympic isifanyike. Ikabidi wazime viwanda kupunguza Moshi.
Watu WA Civil engineering sijui wanalionaje hili?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
middle class ya kenya ipo kwenye makaratasi tu, reality-wise hali yenu ni mbaya sana kimaisha.

ila nawasifu kitu kimoja,mpo vizuri sana katika kupika data za kuwadanganya watu wa nje ya kenya ambao si wadadisi kama sisi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa huwa wanawapiga kamba wanaija na wasouth, good thing wabongo tunawajua wakenya hadi tabia zao za kutochamba.
 
Jamaa huwa wanawapiga kamba wanaija na wasouth, good thing wabongo tunawajua wakenya hadi tabia zao za kutochamba.
na wasipende kutugusa kabisa kitakachofuata mbeleni ni full kuingia kwenye forum ama social networks zote wanazowadanganya maalum kwa kuwaanika[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
if this is the case, we have more 200 flyovers in Tz

Sent using Jamii Forums mobile app



and superhighways,?.. .ama ni fly over za jikoni yako. ... Hahaha. Tanzanians are one interesting case study.....kenyans if you want to See real poverty just take a tour of that country mtashangaa. ..even their fertile areas are so backward
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…