Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya maisha ni magumu but watu wenye hela ni wengi sana...middle class ni big than east and central africa combine
middle class ya kenya ipo kwenye makaratasi tu, reality-wise hali yenu ni mbaya sana kimaisha.

ila nawasifu kitu kimoja,mpo vizuri sana katika kupika data za kuwadanganya watu wa nje ya kenya ambao si wadadisi kama sisi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
rotary club bongo
image2.jpeg
 
CrzzGl-VMAAHxiw.jpg
DSC04113.JPG
1024px-Museam_hill_interchange.jpg
Kisumu-Roads1.jpg
Kisumu-Roads2.jpg
Cqs_NqTWgAAbpi-.jpg
14648577574_6a2afbf82b_b.jpg
16099006130_97c705f141_b.jpg
jKz7mLT.jpg
rR1PK6H.jpg
DSC04345.JPG
8567082599_29059efe3c_b.jpg
12102431023_427974296a_h.jpg
C-LSYS3XYAAOLxV.jpg


Lusematic lunatic, Overpass sio kitu ya kushangaza huku, mingi kama njugu...zingine hata sijapost.
 
Kenya maisha ni magumu but watu wenye hela ni wengi sana...middle class ni big than east and central africa combine

Dee! Acha ujinga wewe. Kwenye list ya Countries zenye mamillionea nwengi na mabillionea $ mko nyuma yetu sana na bia hakuna $ dollar billionaire hata mmoja Kenya. FACT!
 
CrzzGl-VMAAHxiw.jpg
DSC04113.JPG
1024px-Museam_hill_interchange.jpg
Kisumu-Roads1.jpg
Kisumu-Roads2.jpg
Cqs_NqTWgAAbpi-.jpg
14648577574_6a2afbf82b_b.jpg
16099006130_97c705f141_b.jpg
jKz7mLT.jpg
rR1PK6H.jpg
DSC04345.JPG
8567082599_29059efe3c_b.jpg
12102431023_427974296a_h.jpg
C-LSYS3XYAAOLxV.jpg


Lusematic lunatic, Overpass sio kitu ya kushangaza huku, mingi kama njugu...zingine hata sijapost.
[emoji12] [emoji1] hakuna aliyesema za kushangaza hebu njoo na majina yake siyo picha tu maana unakuja na different angle kwa baadhi ya picha hafu zingine zitoe maana ni vituko.....njoo na majina nikuchambue vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya kuna magari mengi kuliko east and central africa combine...maskini hawezi afford gari...so hakuna data imepikwa kwa middle class
 
Yes hatuna dollar billionaire but tuko na tripple dollar millionaires...
Billionaire mmoja na millionaire 10,000 gani afadhali?
 
Back
Top Bottom