Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

full bata bongo
k-jpg.484826
kkk-jpg.484828
 
Nairobi maisha magumu cha Kwanzaa kuliko kenya ingawaje Kenya wanauchumi uliojuu serikalini lakini kwa mtu mmoja mmoja hakuna uchumi.. Uchumi wa wa Tanzania upo juu kwa wananchi hauko kwa serikali..
1.pia master plan ya miji yote ya kitanzania ipo vizuri kuliko kenya..
2.mifumo ya Nyumba za Kenya nyingi ni ni zabati kuanzia chini mpaka juu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana waambie[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi maisha magumu cha Kwanzaa kuliko kenya ingawaje Kenya wanauchumi uliojuu serikalini lakini kwa mtu mmoja mmoja hakuna uchumi.. Uchumi wa wa Tanzania upo juu kwa wananchi hauko kwa serikali..
1.pia master plan ya miji yote ya kitanzania ipo vizuri kuliko kenya..
2.mifumo ya Nyumba za Kenya nyingi ni ni zabati kuanzia chini mpaka juu..

Sent using Jamii Forums mobile app
hafu umesahau nairobi ni chafu....yaani kuanzia city mpaka wananchi wa kenya kwa ujumla hii iwe namba,3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi maisha magumu cha Kwanzaa kuliko kenya ingawaje Kenya wanauchumi uliojuu serikalini lakini kwa mtu mmoja mmoja hakuna uchumi.. Uchumi wa wa Tanzania upo juu kwa wananchi hauko kwa serikali..
1.pia master plan ya miji yote ya kitanzania ipo vizuri kuliko kenya..
2.mifumo ya Nyumba za Kenya nyingi ni ni zabati kuanzia chini mpaka juu..

Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza kulinganisha nyumba ya kiswahili na apartment? haya rudi kwenye pango lako uswahilini
 
Kenya maisha ni magumu but watu wenye hela ni wengi sana...middle class ni big than east and central africa combine
😀😀😀😀😀😀😀😀 sikutegemea yani matajiri ni wengi kuliko maskini asante kwa mchango
 
Ukiniangalia nafanana maskini ka wewe hapo...toka hapo kwa shimo kwanza
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] atii nini yaani hadi wew chokoraa .....leo wasema kenya matajiri ni wengi kuliko maskini...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

karibu piza nipo kibera hapa location

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom