Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
They are virtually everywhere nowadays. Kumbe kule Tanganyika ni big deal kumiliki V8!🤔🤔🤔Mwambie V8 ni gari za comedians huku Kenya 😂
They are virtually everywhere nowadays. Kumbe kule Tanganyika ni big deal kumiliki V8!🤔🤔🤔Mwambie V8 ni gari za comedians huku Kenya 😂
Wametoroka wote🏃Maliza ua. 🤣 🤣 🤣
Majuzi mlisema nyuma ya hayo majengo ni slumHii ni kiwanja kubwa na ghorofa tano kando ya barabara.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



leo naona ume zoom


kweli naona kumejaa slum tu dar es slum


Hapa watafika 2030 🤣 🤣 🤣
Is there a Tesla in Tanzania btw?Hapa watafika 2030 🤣 🤣 🤣
Hii hapa dar is slum alisikikaHata mimi naona gorofa tano kando ya barabara, umeridhika.?



ya kibera ikisemaWacha kutoroka kuja uhesabu Bentleys.Weka tena with different number plates then nakujibu
Wamejishtukia kupost express way, wakaja na mada ya masoko tukawakumbusha kuwa tulishamaliza. Now wamekuja na magari wakisahau kuwa tushamaliza.Kwani hii mada ya magari imerudi tena? C tuliwapiga hands down?
Acha niekee hizi alafu niwaache muendelee na mwarabu bonoko😂😂Hizi picha ni lit.
Maneno ya kanga kama kawaida, yenu hua maneneo tupu. Hizi zingine hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣Wamejishtukia kupost express way, wakaja na mada ya masoko tukawakumbusha kuwa tulishamaliza. Now wamekuja na magari wakisahau kuwa tushamaliza.
Bila shaka wale nzige wajjichanganya nao now wamekua wote vichwa vya panzi
Nzuri sanaHii hapa dar is slum alisikikaya kibera ikisemaView attachment 2190968View attachment 2190969View attachment 2190970View attachment 2190971View attachment 2190973View attachment 2190977View attachment 2190979View attachment 2190983View attachment 2190985View attachment 2190986View attachment 2190993View attachment 2190999

Unarudia rudia tu mapichaUlitupiga wewe n nani. Tuonyeshe gari kama hii hapo bongo. Ksh 233 million. Sijui hizo ni pesa ngapi za madafu View attachment 2190942View attachment 2190943
Kawaida yao wakishashindwa kwenye mada this is how they behaveManeno ya kanga kama kawaida, yenu hua maneneo tupu. Hizi zingine hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Narudia kwa sababu hamna gari kama hiyo Tanganyika nzima