Hii Escaled inafanya hio ya diamond ikae jokes. 🤣 🤣Hizi ni gari za kawaida bongo hata mtanzania maskini anamiliki .. msafara wa magari ya Nasib ..1 Rolls-Royce calinan black badge, 2 Escalade, 3 V8, 1 BMW and more👇.. View attachment 2190900
Hii Escaled inafanya hio ya diamond ikae jokes. 🤣 🤣Hizi ni gari za kawaida bongo hata mtanzania maskini anamiliki .. msafara wa magari ya Nasib ..1 Rolls-Royce calinan black badge, 2 Escalade, 3 V8, 1 BMW and more👇.. View attachment 2190900
Watuletee Rolls Royce kumi with different plate numbers tuoneKeti chini utulie, hizi hapa Rolls Royce zingine tena. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
How much is this one?Hii Escaled inafanya hio ya diamond ikae jokes. 🤣 🤣
![]()
Gari ya kukodisha inafananaje?kama umegundua mchezo gari za wakenya almost ni zakukodisha
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Around 15 mil including taxes.How much is this one?
Hii Ina maajabu we kalio unajua Escalade ya DP ni ya mwaka gani.? Na unajua kama chuma ya See sio ya kawaida ni Escalade ilio pimpiwa.? Heb safisha macho kidogo 👇Hii Escaled inafanya hio ya diamond ikae jokes. 🤣 🤣
![]()
V8 ni gari ya kututajia hapa! 😂 😂Hizi ni gari za kawaida bongo hata mtanzania maskini anamiliki .. msafara wa magari ya Nasib ..1 Rolls-Royce calinan black badge, 2 Escalade, 3 V8, 1 BMW and more👇.. View attachment 2190900
Uzi huu umewaka moto nakuambia. Wakenya na Watanzania wanapigana makonde huko kwenye twitter. Mimi natazama kwa umbali tu.
How many cars I've mentioned.? We uko na V8.? Uko kwenu V8 so ndio gari za matajiri .?😂😂V8 ni gari ya kututajia hapa! 😂 😂
Cheki hizi heavy duty.mchuma ya rafki yangu jack japo ni older model of Ford f250 lakini bado inatesa
View attachment 2190927
Mpaka msaada kutoka kwa majirani? Hizo gari hata sio za kunyaland
Mumeanza kuingiwa n baridi na kutafuta visingizio kama kawaida 😂 😂Halafu nyingi wanamiliki South Sudanese
Gari za matajiri kwetu ndio hizi hapa. Mnazo?How many cars I've mentioned.? We uko na V8.? Uko kwenu V8 so ndio gari za matajiri .?😂😂
Hehehe umefukuza mwarabu bonoko🤣🤣🤣😂Cheki hizi heavy duty.
![]()
![]()
Kwani hii mada ya magari imerudi tena? C tuliwapiga hands down?Rolls Royce Phantom Convertible - Ksh 45 million
View attachment 2190841
Mercedes Maybach S600 - Ksh 43 million
View attachment 2190842
Bentley Bentayga - Ksh 38 million
View attachment 2190843
Ferrari 458 Italia Convertible - Ksh 26 million
View attachment 2190853
Lamborghini Ksh 20 million
View attachment 2190854
Aston Martin Ksh 26 million
View attachment 2190857
Rolls Royce Ghost - Ksh 30 million
View attachment 2190858
Rolls Royce Phantom - Ksh 40 million
View attachment 2190863
American Escalade - Kh 40 million
View attachment 2190861
BMW i8 Ksh 18 million
View attachment 2190874
The Mercedes Benz SLS AMG - Ksh 20 million
View attachment 2190888
Majamaa wamekazana na hile gari moja Diamond, ilianza kipostiwa Jana bado wanapost tu🤣🤣😂Gari za matajiri kwetu ndio hizi hapa. Mnazo?
View attachment 2190938
Hii hata utembeee hadi wapi hapo Tanganyika hutawahi kutana nayo
Unakataa nyumbani au unataka nipost picha ya jana ambayo ni mbaya kuliko hiyo?Picha ya kitambo hii hata kabla southern bypass itengenezwe, sikuizi trailer hazipiti CBD. Hizi ndio gari ziko Dar sahii in 2022.








Hey warthog, mliwapiga wewe na nani?Kwani hii mada ya magari imerudi tena? C tuliwapiga hands down?
Zipo ngani hapo kenya.? 😂😂😂Gari za matajiri kwetu ndio hizi hapa. Mnazo?
View attachment 2190938
Hii hata utembeee hadi wapi hapo Tanganyika hutawahi kutana nayo