kupo ovyo.......
ila naomba uniletee flyover 5 kwa picha mnazopigapiga kelele hapa mlizo nazo hapo nairobi
yaani hawa nilikuwa nawachora kelele zone ooh tuna flyover kibao kumbe hamna kitu interchange ndiyo wanaziita flyoversiniliwaambia kashawafunga kamba tayari😀😀😀😀😀
yaani kumekaa kiboya kweli...tena hiyo si fly over wamelazimisha mambo kwa kuchimba chimba ili load connector ipite hafu waite flyoverCOLLOH-MZII RELOADED Hizi flyover zenu barabara zake zinaendaje? Hio black car hapo mbona kama inaingia wrong direction? Hata muundo wa junction hauoneshi kama anaruhusiwa kwenda huko anakoenda....
![]()
Undeni hata 5 km ya 12 Lane ndio muongee na hiyo dar yenukupo ovyo.......![]()
![]()
![]()
ila naomba uniletee flyover 5 kwa picha mnazopigapiga kelele hapa mlizo nazo hapo nairobi
NOTE:
stop posting interchange
Sent using Jamii Forums mobile app
tunatengeneza vitu kwa taratibu na sheria kulingana na uhitaji.....hatukurupuki.......every ting happen nigga.....taratibu vyote hivyo vishapitishwa...usiwaze vitu hizo tunavitupilia huko mbali pembezoni mwa mji....
This time group stages are lit waaaaahhh
my team not thereThis time group stages are lit waaaaahhh
me toomy team not there