Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mwaka mmewahi kutushinda kwa revenue hata kipindi sisi tunapata namba ndogo ya tourist kuwaliko.?
2021 tuliwashinda kwa revenue na tutaendelea hivyo hivyo especially now that Covid restrictions have been lifted.
 
Ndio maana biashara za kimataifa zinafeli zote huko bongo kwa sababu ya akili mgando wa aina hii. Ndio maana Uber na Standard Chartered zimeondoka lazyland wiki hii.
Kwanza Uber alishashindwa muda mrefu sana, Bolt kamgaragaza vibaya sana na sasa kuna Linkee na wengineo wanakuja. Hata mimi muda si mrefu natoa ya kwangu kudadadeki 😎
 
Chief, haya mambo tumejifunza kwa wazungu. Haya uliona wapi Raisi wa nchi zinazojielewa mfano China akienda kutangaza utalii kwenye nchi nyingine. Hua wanatoka kwa maswala mazito sana. Gandhi ya ikikuisha ndio utaja nielewa, ila kwa sasa nakuacha tu
China hategemei Utalii
 
Anamsuta Mwendazake sio wananchi,yule alikuwa na tabia za kishenzi Sana.

Asutwe Ili iwe fundisho kwa wengine hakuna cha marehemu wala cha nini.
Ndio tabia za kina mama wasioona mbele, anamshtaki baba kisa kamchapa mtoto alipokosea, sasa baba kafungwa jela mama majukumu yanamzidi anaanza kudanga ili kupunguza mzigo wa majukumu
 
Mbele wapi ambako haoni?

Na huyu ni mama? 👇

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…