The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Nyie ndio mumepiga hizi pesa hapa awamu ya 5 πPenye kazi nzuri ninapongeza, ninapoona panahitaji ushauri nitashauri,penye kukosoa nitakosoa kwa hekima na heshima sitamvunjia mtu heshima yake.
Ukinichukulia hivyo utanielewa maana nakuona unaniona mimi ni mpingaji wa kila jambo kama wewe ambavyo unajibu karibu sms zote humu za Wakenya na Watanzania kusifia tu hata kama ni baya.
Mimi siko hivyo mkuu, usinichukulie nampinga mama kwa kila kitu.Yeye alisema kama ni kukosoa tukosoe na tushauri nini kifanyike. Sidhani kama nimekwenda kinyume na hili.
Inaonekana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hawa kima wa humu watatii watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila mwaka huu tutaona mengi sana
Tanzania kama wewe ni Rais achana na habari za kusafiri safiri, utapigwa mpk ukome, tena ukiwa bogaz ndiyo kabisa.ila mwaka huu tutaona mengi sana
How can you control economy of your father [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You can't feed someone who is controlling your economy.
Kuna mtanzania gani hua anajua teuzi.Memo zipo tu mkuu kila mahali duniani.Muhimu ni kuteua mtu mwenye uwezo after all Rais sio kama ndio huteua kila mahali ziko nafasi yeye hupitisha kwa kua katiba inasema Rais atateua.Mfano kwenye position za kisector waziri husika ndio hupeleka majina kwa Rais ili Rais amteue mtu.Muhimu ni kuteua mtu mwenye uwezo na welediHiki ndicho watanzania wanakipigania humu ndani. Mama aendeshe nchi kwa mawazo yake,atoe maamuzi kama Amiri jeshi mkuu wa Tanzania kwa maslahi ya wananchi wake na siyo kupangiwa na mtu mwingine.
Watanzania hawataki aletewe vimemo vya teua huyu, tangua huyu, fanya hivi na vile kwa mambo asiyoyataka.
Bora afanye akosee kwa maamuzi yake lakini siyo kuelekezwa na mtu mwingine. Wakenya mkiona Watanzania wanapiga kelele humu kuhusu nchi yetu muongee machache maana hamjui kinachoendelea.
Walioko jikoni ndio husikia vizuri harufu ya mapishi kuliko walioandaliwa chakula mezani.
Geza ametaka aoneshwe ya 1500 cars kama imewahi kutia nanga hapo.Unasema eti Mombasa port haijawahi kupokea 1,000 vehicles kwa wakati mmoja?
Cc The best 007
chongchung
coodip1
Huyu naye wa wapi huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]Leta evidence ya magari 4k once
Ebu taja names of those stores or just post for us the pictures tuzioneπππ€£π€£Fika Sinza wewe utoe ushamba, retail stores kalikali brand kubwa kubwa za local Tanzanians.. mshamba wa maporini uko utajua wapi vitu kama hivyo ππ
Magari za 10 years plusπππ€£kubaki tanzania hio sio hoja kwan unajua magari 1000+ kubaki tanzani ni safi kabisa kuna magari yanakwenda mpaka south sudan, mozambique na zimbabwe πππ€£
180m time two na nafasi kubwa imebaki maana yake ina 450m hio roro ndio maana imekua ni mwiba mkubwa sana π€£π€£π€£πππ
View attachment 2189611View attachment 2189612
Magari mzee. π€£ π€£π€£π€£Magari za 10 years plusπππ€£
Anamsuta Mwendazake sio wananchi,yule alikuwa na tabia za kishenzi Sana.Mi sina shida na safari zake
Raisi gani anawasuta wananchi wake π₯π₯ 'achunge domolake!!
ππ Sina huo muda mchafu, make google your good friend madameEbu taja names of those stores or just post for us the pictures tuzioneπππ€£π€£
humo ndani kuna nini? Unaelewa maana ya Camp?
Magari za 10 years plusπππ€£
Roho zinawauma kinoma πππ lakini wapi mamaaeMagari mzee. π€£ π€£π€£π€£
Alikua na $171 million tu na ndio mkenya mwenye pesa nyingi kuliko wote toka dunia imeumbwaChris Kirubi was worth over $500m
Hiyo 450m ni yakoπππ€£kubaki tanzania hio sio hoja kwan unajua magari 1000+ kubaki tanzani ni safi kabisa kuna magari yanakwenda mpaka south sudan, mozambique na zimbabwe πππ€£
180m time two na nafasi kubwa imebaki maana yake ina 450m hio roro ndio maana imekua ni mwiba mkubwa sana π€£π€£π€£πππ
View attachment 2189611
View attachment 2189612
Ukweli wote huu hapa, alikua na 120 million usd tuππππππ Kirubi kama Kirubi πmuuni alikufa maskini View attachment 2189719
Sisi tunawapiga pini tu kubababake, cku hz mmebaki na maneno ya kanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magari za 10 years plus[emoji23][emoji23][emoji1787]