Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jukwaa la siasa lipo lakini hao wanaoleta habari za siasa humu uwakuti kule,utakuta wanaleta humu,mara wamponde magu mara wamponde SSH,wanazingua sana!
 
Ndo kupigwa mwingi huko mkuu ๐Ÿ”ฅ
Hatimaye Serikali ya Samia yazidi kuupiga mwingi kwa kutimiza ahadi ya kutoa ajira zaidi ya 32,000..Maneno kwa vitendo

Kwa mwaka mmja wa Samia zaidi ya watumishi 45,000 wameajiriwa na wengine zaidi ya 92,000 wamepandishwaadaraja bila visingizio vya kitoto eti tunajenga miradi.๐Ÿ‘‡

 

Attachments

  • 4913454-1790438ade9bf3573e6d0aadcb6b70d0.mp4
    4.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ