The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Pale Airpot na njia panda watu washachukuwa pesa nyumba zishavunjwa aisee ni eneo kubwa zimechukuwa hizi underpasses, tusubiri muonekano mpya wenye kupendeza pia zitapunguza congestion.MD wa TRC anafanya mahojiano saiz na TBC.. anasema hiki kipande cha Dar hadi Pugu.. zitajengwa overpasses tatu ili magar yapite juu na treni chini.. Zitajengwa eneo la kuelekea Airport, Vingunguti na ‘ile njia ya kutokea kinyerezi’ (nimesahau kataja jina gan sijui)..
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi wakisema wamesema hawafuti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza ukabila mzeeKawe hapiti 2025 labda akagombee Usukumani!
Anafikiri kuhandle mafuta ya nchi zaidi ya 1 ni kazi ndogo, facilities za mafuta zilizopo Tanzania, Kenya haiingii hata robo, mafuta Tanzania yapo kwa sasa na nchi zote zinazohudumiwa na Tanzania ila Kenya mafuta yamekataSidhani Kama ataleta, siku hizi Yuko makini Sana[emoji13][emoji13][emoji13]
Sio Kikwete mzee ni tangu enzi ya mkapa . Tatizo ilikua commitment and fund , uthubutu wa late magu imefanya leo iwe nothing impossibleUshawai kuskia Vision 2025 ya Tanzania..Hio SGR tumeplan toka enzi za Kikwete ..na sio kwamba tunawageza nyie...Ndo maana tumeanza kujenga na tunajenga kila kitu kwa pace yetu
Panaitwa njia panda ya segerea ( Stakishari) , actual wameanza kubomoa nyumba hayo maeneo hili waanze kujenga hizo overpassMD wa TRC anafanya mahojiano saiz na TBC.. anasema hiki kipande cha Dar hadi Pugu.. zitajengwa overpasses tatu ili magar yapite juu na treni chini.. Zitajengwa eneo la kuelekea Airport, Vingunguti na ‘ile njia ya kutokea kinyerezi’ (nimesahau kataja jina gan sijui)..
Sasa wanalalamika nn? Uwezo wa nchi yetu ni mkubwa ndiyo maana tulipoomba mkopo wa kutengeneza electrifitried SGR waligoma but tulipoanza kwa pesa za ndani ndipo walipojua kuwa tuko serious zen wakakubali, ss hawa jamaa uwezo wao mdogo nchi yao ya kimaskini walitegemea wajengewe reli ya umeme? Ili iwalipe faida haraka haraka alafu mchina akose pa kupiga? Walipoomba kujengewa reli ya diesel mchina akakubali mana alijua fika lazima wa default zen mchina achukue Mombasa port, ndivyo ilivyotokea, ss wanalia nn, umaskini mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameshaanza kuweweseka
toyota corola imeupiga mwingi😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maeneo muhimu kuona ndinga zao, Nina uhakika hiyo Toyota corola ni tolea la kwanza la miaka hiyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽 ndinda unanitaftia ugonvi sasa 🤣Hiyo Kipevu kama matank ya maji Ya Guest Uswahilini Manzese [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
punda wa lamu wanamajina ya magari kabisa unaeza sikia punda anaitwa BMW au noah etcHuko lamu kwenye punda wengi kuliko magari ndipo penye ile white elephant port walisema ni kubwa kuliko hata Mombasa, sasa sijui containers zitabebwa na punda? 😅
mm simutanilaumu bure hvi ww na macharia nani anajua zaidi ???😂😂👇👇👇👇Sawa chief, mtanzania wa mtaa anajua KQ zaidi kuliko Kenyans., najua hii taarifa ulitoa wapi na ni siku ipi ilichapishwa, fanya utafiti, usilazimishe fikra zako🤣🤣😂😂😂
As at 2019 KQ had 40 fleets, 20 zake fully owned..., kwa sasa(2022) kama sijakosea ni 19..,ichoboy01 ATCL ina ngapi eti kwa ujumla?.., iwe leased ama yao...,
View attachment 2184981
View attachment 2184984
So kwa kauli yako by leasing👇👇 two aircrafts to Congo KQ itabakia na ndege moja tu inayo miliki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 kwa vile hauwezi ku lease a leased aircraft, ichoboy01 wakati mwingine wewe ni mandazi sana🤣🤣😂😂😂
As at 2021 KQ had 39 planes, 19 zake, 17 leased..., una swali?
View attachment 2184987
View attachment 2184988
ww huoni hata mwenzako anashangaa🤣🤣🤣👇👇👇Sawa chief, mtanzania wa mtaa anajua KQ zaidi kuliko Kenyans., najua hii taarifa ulitoa wapi na ni siku ipi ilichapishwa, fanya utafiti, usilazimishe fikra zako🤣🤣😂😂😂
As at 2019 KQ had 40 fleets, 20 zake fully owned..., kwa sasa(2022) kama sijakosea ni 19..,ichoboy01 ATCL ina ngapi eti kwa ujumla?.., iwe leased ama yao...,
View attachment 2184981
View attachment 2184984
So kwa kauli yako by leasing👇👇 two aircrafts to Congo KQ itabakia na ndege moja tu inayo miliki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 kwa vile hauwezi ku lease a leased aircraft, ichoboy01 wakati mwingine wewe ni mandazi sana🤣🤣😂😂😂
As at 2021 KQ had 39 planes, 19 zake, 17 leased..., una swali?
View attachment 2184987
View attachment 2184988
baba anatokwa udenda😂😂😂[emoji3][emoji3]
View attachment 2185411