Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You need a brain transplant.🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Sisi hayo mambo tulianza kitambo kidogo kabla yenu vision yetu inaishia 2025.
 
Chakushangaza wenzao hayo maneno ya kuhamasisha/ kuonya madereva huwa yanawekwa kwenye mabango ya kidijitali. Hubadilika kutokana na kampeni ya muda huo, wao wameweka jumla (permanent). Ni washamba sana hawa watu.
 
Huwa nacheka, Yani wakunya wanafosi wafanane na Ulaya mpk inachekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila wakenya kweli ninyi ni wachoyo, kumbe mna flyover nzuri hivi lakini hamtaki kushare na sisi? Why? 😅😅😅😅

You kept it secret for so long 😒
View attachment 2184060

View attachment 2184061
Jengeni flyover kwenu kwanza ndio uje uongee kuhusu yetu. Nyie isipokuwa hio moja ya Dar hamna nyingine. Kisha unaicheka nchi ambayo ina flyover zaidi ya kumi na hata towns ndogo ndogo zina flyover? Sie tuna mpaka expressway ambayo ina viaduct zaidi ya 7 km. Nyie hamna hizi vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…