Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i
Ingia Youtube tafuta any recent video ya Nairobi and Dar es salaam, compare magari on both videos uone ukikufa na aibu na hizo magari zenu mzee.πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
ikiwa gari kama hii inatoka tanzania kuja kenya ishakua gumzo na ishakua taarifa ya habari πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
i

ikiwa gari kama hii inatoka tanzania kuja kenya ishakua gumzo na ishakua taarifa ya habari πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ju bongo mumezoea magari mzee. Mwenyewe amepewa attention kwa watu wamezoea newer cars. Nyi mumezoea 20 year old cars.🀣🀣🀣🀣
 
Ju bongo mumezoea magari mzee. Mwenyewe amepewa attention kwa watu wamezoea newer cars. Nyi mumezoea 20 year old cars.🀣🀣🀣🀣
unawazimu wa kichwa wewe nioneshe probox ya 2015 basi 🀣🀣🀣🀣

endelea kujipa matumaini tu
 
Kikwete aliwahi kusema, kwanini mnataka kula huku na huku?
 
unawazimu wa kichwa wewe nioneshe probox ya 2015 basi 🀣🀣🀣🀣

endelea kujipa matumaini tu
Hii ndio SUV munaendesha in 2022.🀣🀣🀣 Gari ikona miaka mingi kukuliko.

 
Magari mzee ndio zimejaa kwa barabara, over 20 years old.🀣🀣🀣

 
Mombasa gati la magari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani hata parking ya baadhi ya shule Tanzania ni kubwa kuliko hiki kituko

Washukuru vyakula vya misaada vina boost sana hii bandari

View attachment 2183026
See how foolish you are. You are celebrating importing vehicles in instead of crying [emoji1787][emoji1787][emoji23]. The big difference between Kenya and Tanzania is that Kenya assembles her vehicles while Tanzania imports[emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…