huyo ni kilaza ungemuachaFIFA ranking gan hio unaizungumzia? Chin yetu kuna Burundi, Rwanda..
View attachment 2182078
Pia kama hujui..kenya pekee ndo wamefungiwa na FIFA ktk east africa nzima kujishughulisha na competitions under FIFA &CAF
some of these countries have totally lost their mindsanataka kusuka na kunyoa kwa pamoja 😂😂
Kulikuwa na plan ya kujenga Berth 13 and 14 ambazo zingekuwa kwa ajili ya container terminal tupu..quay length yake ilikuwa 600m kwa zote ..o think its a high time to revive that plan and even add berth 15 if nafasi ipo..Pale TPA inahitajika berth Kwa ajili ya containers tupu na machines za kutosha offloading and loading. Pia a large area for loose cargo na mitambo.
RoRo berth inatosha kabisa na uzuri magari ni self drive hivyo pakijaa wanaweza kuhamishia kwenye ICD tu. Na ni ngumu gari kujaa maana utaratibu wa magari uko fasta kidogo. Gari inaweza kutoka kwenye meli Leo na kesho ukaingia nayo barabarani clearance cycle iko fast than containers.
Mnastahili kuwa na a constant development master plan kama Mombasa port. Berth moja ya Mombasa port inapokamilika, nyingine inaanza kujengwa mara moja. Hakuna kungoja miaka kadhaa kama nyinyi mnavyofanya. Hii masterplan ya Mombasa port iliundwa na Japan kupitia JICA. Kwa sasa Mombasa port ina berths zaidi ya ishirini na latest berth+container terminal zitazinduliwa mwezi ujao kisha ujenzi wa next berth+container terminal utaanza immediately. Mnastahili kuwa na continuous development master plan hata nyinyi sio kusitisha ujenzi kwa miaka kadhaa. Kwa sasa Mombasa port inahandle zaidi ya 35 million tonnes of goods wakati Dar es Salaam inahandle 17 million tonnes pekee.Kulikuwa na plan ya kujenga Berth 13 and 14 ambazo zingekuwa kwa ajili ya container terminal tupu..quay length yake ilikuwa 600m kwa zote ..o think its a high time to revive that plan and even add berth 15 if nafasi ipo..
we need to.have various strong holds...my idea with another RoRo its sio kwamba hii haitoshi..hamna it was to make it stronger ..when someone thinks of importing cars thinks of Dar..anyways maybe its so soon..
But we need at least 3 new berth with upto 1.2km long length total
Amekuambia remittance co capital inflows za nchi, ss wewe kama mchumi pinga kwa hoja.
joto la jiwe Sasa nikikujibu kwa maneno unapinga vikali. Sasa wacha nikuwekee articles za kitaalam lakini sijui kama utaweza kuzielewa. Wacha nianze na hii hapa ambayo inakueleza wazi kwamba remittance ambayo ni capital flow na hata ameandika kwa heading kwamba ni capital flow, (sasa sijui ulikuwa unanipinga kwa nini), iliisaidia Europe kudevelop in the late 19th century-Early 20th century. Wazungu kutoka Eastern Europe walikuwa wanakwenda Western Europe na Marekani kufanya kazi na kutuma pesa nyumbani. Kulingana na hii article, hio remittance ilichangia pakubwa katika development ya Europe hususan Eastern and Central Europe. Ukimaliza kusoma hio niambie kutumie nyingine. Ninazo nyingi academic articles zinazoelezea umuhimu wa remittance katika economic development ya emigration countries. Fuata link hapaHivi inawezekanaje mchumi mwenye degree ya uchumi anashindwa kumjibu "Form 4 failure" kwa hoja badala yake anatia mpira kwapani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
Kama unayosema ni kweli kuhusu Mombasa port;Mnastahili kuwa na a constant development master plan kama Mombasa port. Berth moja ya Mombasa port inapokamilika, nyingine inaanza kujengwa mara moja. Hakuna kungoja miaka kadhaa kama nyinyi mnavyofanya. Hii masterplan ya Mombasa port iliundwa na Japan kupitia JICA. Kwa sasa Mombasa port ina berths zaidi ya ishirini na latest berth+container terminal zitazinduliwa mwezi ujao kisha ujenzi wa next berth+container terminal utaanza immediately. Mnastahili kuwa na continuous development master plan hata nyinyi sio kusitisha ujenzi kwa miaka kadhaa. Kwa sasa Mombasa port inahandle zaidi ya 35 million tonnes of goods wakati Dar es Salaam inahandle 17 million tonnes pekee.
View attachment 2182178
View attachment 2182179
View attachment 2182180
Cc Geza Ulole
chongchung
Amari
Kwa wanaotaka kusoma latest masterplan ya Mombasa port, nimeattach hio masterplan hapa chini
Kuhandle tons nyingi sio tatizo, hata hivyo Kenya inaagiza vitu vingi zaidi ya Tanzania kutokana na uzalishaji wenu kuwa duni, mnaagiza malighafi na bidhaa nyingi ambazo Tanzania inajitegemea au ina mbadala wakeMnastahili kuwa na a constant development master plan kama Mombasa port. Berth moja ya Mombasa port inapokamilika, nyingine inaanza kujengwa mara moja. Hakuna kungoja miaka kadhaa kama nyinyi mnavyofanya. Hii masterplan ya Mombasa port iliundwa na Japan kupitia JICA. Kwa sasa Mombasa port ina berths zaidi ya ishirini na latest berth+container terminal zitazinduliwa mwezi ujao kisha ujenzi wa next berth+container terminal utaanza immediately. Mnastahili kuwa na continuous development master plan hata nyinyi sio kusitisha ujenzi kwa miaka kadhaa. Kwa sasa Mombasa port inahandle zaidi ya 35 million tonnes of goods wakati Dar es Salaam inahandle 17 million tonnes pekee.
View attachment 2182178
View attachment 2182179
View attachment 2182180
Cc Geza Ulole
chongchung
Amari
Kwa wanaotaka kusoma latest masterplan ya Mombasa port, nimeattach hio masterplan hapa chini
Sisi hatupangi mambo yetu kwa kuwaangalia nyinyi mnafanya nini. Sisi hatujali nyinyi mnafanya nini. Endeleeni kufanya mnachofanya. Sisi tutaendelea na mipango zetu. Mipango yetu ni long-term na zinafall under Kenya vision 2030. Na wala hatujali nyie mnafanya nini.Kama unayosema ni kweli kuhusu Mombasa port;
1) Kuna umuhimu gani wa kujenga Lamu Port?
2) Mombasa port Kuna business plan?, Sasa hivi karibu nchi zote za ukanda huu zinaunganishwa na "Central corridor" kwa kutumia reli ya kisasa ya umeme kutoka Dar es Salaam, Je hizo bandari za Lamu na Mombasa zinategemea kuhudumia nchi zipi?
Wewe wacha mambo zako. Kama huelewi jambo sema ujulishwe. Sasa Uganda wanaexport tea worth $71 million per year wakati Kenya ina export tea worth more than $1 billion per year. Narudia tena Kenya ina export tea worth more than $ 1 billion per year. Sasa unless una matatizo ya akili, sielewi ni vipi unaweza kulinganisha 71 million dollars ya Uganda na 1 billion dollars ya Kenya. Akili kichwani. Kenya is the third largest producer of black tea in the world. Majani chai ambayo Uganda wanaproduce kwa mwaka mzima hata haifikii majani chai ambayo Kenya inaproduce kwa mwezi mmoja. Mashamba ya chai yamejaa Kenya na yalianzishwa na the British wakati wa ukoloni. Kericho, Kapsabet, Limuru na kadhalika, haya yote ni maeneo yanayopanda chai hapa Kenya.Kuhandle tons nyingi sio tatizo, hata hivyo Kenya inaagiza vitu vingi zaidi ya Tanzania kutokana na uzalishaji wenu kuwa duni, mnaagiza malighafi na bidhaa nyingi ambazo Tanzania inajitegemea au ina mbadala wake
Kitu kama heavy oil kwaajili ya uzalishaji umeme wa generators, mnaagiza kwa wingi wakati Tanzania inatumia natural gas so lazima numbers zitofautiane
Pia nilikuambia chai ya Kenya kwa percent kubwa hailimwi Kenya ukabisha, sasa ushahidi huu hapa
Mnasema mnaongoza uzalishaji chai duniani kumbe ni uongo!
View attachment 2182203
chongchungWewe wacha mambo zako. Kama huelewi jambo sema ujulishwe. Sasa Uganda wanaexport tea worth $71 million per year wakati Kenya ina export tea worth more than $1 billion per year. Narudia tena Kenya ina export tea worth more than $ 1 billion per year. Sasa unless una matatizo ya akili, sielewi ni vipi unaweza kulinganisha 71 million dollars ya Uganda na 1 billion dollars ya Kenya. Akili kichwani. Kenya is the third largest producer of black tea in the world. Majani chai ambayo Uganda wanaproduce kwa mwaka mzima hata haifikii majani chai ambayo Kenya inaproduce kwa mwezi mmoja. Mashamba ya chai yamejaa Kenya na yalianzishwa na the British wakati wa ukoloni. Kericho, Kapsabet, Limuru na kadhalika, haya yote ni maeneo yanayopanda chai hapa Kenya.
Nimekuuliza kuhusu "business plan ya hizo bandari za Kenya, ni muhimu Sana kuwa na business plan katika miradi mikubwa Kama hii ili kuepuka a na hasara Kama ilivyotokea huko Sri- Lanka, walitumia pesa nyingi za Mchina kujenga bandari lakini hakuna mzigo, wameshindwa kulipa deniSisi hatupangi mambo yetu kwa kuwaangalia nyinyi mnafanya nini. Sisi hatujali nyinyi mnafanya nini. Endeleeni kufanya mnachofanya. Sisi tutaendelea na mipango zetu. Mipango yetu ni long-term na zinafall under Kenya vision 2030. Na wala hatujali nyie mnafanya nini.
Prons & cons of remittancesjoto la jiwe Sasa nikikujibu kwa maneno unapinga vikali. Sasa wacha nikuwekee articles za kitaalam lakini sijui kama utaweza kuzielewa. Wacha nianze na hii hapa ambayo inakueleza wazi kwamba remittance ambayo ni capital flow na hata ameandika kwa heading kwamba ni capital flow, (sasa sijui ulikuwa unanipinga kwa nini), iliisaidia Europe kudevelop in the late 19th century-Early 20th century. Wazungu kutoka Eastern Europe walikuwa wanakwenda Western Europe na Marekani kufanya kazi na kutuma pesa nyumbani. Kulingana na hii article, hio remittance ilichangia pakubwa katika development ya Europe hususan Eastern and Central Europe. Ukimaliza kusoma hio niambie kutumie nyingine. Ninazo nyingi academic articles zinazoelezea umuhimu wa remittance katika economic development ya emigration countries. Fuata link hapa
[emoji116] [emoji116]
Remittances, capital flows and financial development during the mass migration period, 1870–1913Remittances, capital flows and financial development during the mass migration period, 1870–1913
Abstract. This article addresses the question whether the substantial financial flows received by emigration countries contributed to domestic financial deacademic.oup.com
Abstract
This article addresses the question whether the substantial financial flows received by emigration countries contributed to domestic financial development in peripheral Europe before 1914. We quantify a sizable and significant relation between remittances and measures of financial development that is both larger than the contribution of other international capital flows and the best estimates of the same relation today. Given that financial development is regularly included among the conditions for economic growth and catch-up of developing nations, this article adds to our understanding of the multiple impacts of the mass migration phenomenon on the economies of emigration countries.
Tony254, unayosema sio kweli hata kidogo, sector nzima ya Agriculture Tanzania ambayo ni kubwa kuliko nchi zote za ukanda huu haina uwezo kuingiza $1.3B, hafadhali ungesema maua ningekubali kwasababu ni "high value products.chongchung
In fact in 2021 Kenya ilipata 1.32 billion dollars kwa kuuza majani chai. Sasa siku nyingine usifanye upuuzi wa kulinganisha $71 million ya Uganda na $1.32 billion ya Kenya. Tafadhali Uganda sio ligi ya Kenya. Hata Tanzania sio ligi ya Kenya kwenye kuzalisha majani chai. Soma hapa chini
[emoji116] [emoji116]
Tea and coffee exports earn Kenya $1.32bn
Exports of the two commodities gained from a depreciation of the Kenya shilling, which had lost ground to hit lows of $1.13 as at the end of last year.www.google.com
Investment in industries sio magic bullet. Investment in industries sio the only important thing in an economy. In fact hata kulipia watoto school fees pia inaweza kuzingatiwa kama investment. Investment is a broad term and could mean different things. Economic development ni broad sana na inahusu hata hio kulipa school fees mzee, sikiliza ninachokuambia. Hiyo medical treatment unayoidharau pia ni part of economic development. Hio private cars na pia kununua viwanja na kujenga makaazi ya watu pia ni part of economic development. Naomba tuelewane. Tatizo lako ni kwamba wewe ni kichwa ngumu hutaki kusikia. Halafu nimekuwekea mpaka academic article ya kitaalam kabisa na umekataa kusoma na hata hujanieleza kama umeisoma au la. Halafu bado unataka nijadiliane na wewe? The best 007 unaona matatizo jinayodeal nayo? Sio kwamba nimesusia debate, ni kwamba hata nikimwekea hata academic article, na zipo nyingi naweza kuzijaza hapa, jamaa hatazisoma atagandia hio point yake. Kwa nini niendelee kupoteza muda na yeye?Prons & cons of remittances
Over 80% of remittances to developing economies is for domestic expenditures, not for investments, pay for school fees, paying for medical treatments, building residential houses, buying Private cars for family and othersThe widespread impacts of remittance flows
Remittances have the potential to lift developing economieswol.iza.org