Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maridhiano kwenye kila mgogoro huwa ni jambo la msingi sana badala ya kutumia mabavu wanaoumia ni wengi.
 
Kijana ajira through sme ni universal haichagui cadre bali ni innovation mfano with advent of ICT you can give online courses or rather tech savy related education systems zitakazo employ hao walimu we need to think out of the box and do away with traditional systems.
 
Hili ni wazo nzuri sana. Serikali na universities zetu zinastahili kufocuss kwa hizi careers mpya zinazochipuza ikiwemo hizo ulizotaja ikiwemo sports, acting, animation, coding, artificial intelligence, data science na kadhalika.
Kwamfano ukiangalia ajira nyingi za afya Tanzania wanahitaji either doctors au nurses hata kwenye research ila wanasahau kuwa kuna cadres nyingine zilizo bora au more applicable zaidi kwa program husika kuliko doctors na nurses. As africans we need to widen the scope in employment area.
 
Zinaenda hadi zimbabwe
 
Ulimgusa pabaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule cartoon huwa anaumizwa sn na maendeleo ya Tz, ss jana baada ya kugundua Kenya imeachwa na Tz kwenye sekta ya afya kwa miaka 1000 kaumia sana na wiki nzima hii hatorudi na hata akirudi hatoongelea suala la afya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mko na mpango na mchezo upi?

Nyinyi hamna mpango na Mchezo wowote ule.....

And please don't say football coz TZ is the lowest ranked country in East Africa according to FIFA.
FIFA ranking gan hio unaizungumzia? Chin yetu kuna Burundi, Rwanda..

Pia kama hujui..kenya pekee ndo wamefungiwa na FIFA ktk east africa nzima kujishughulisha na competitions under FIFA &CAF
 
Kwanza, hio ship imebeba 4000 cars haimaanishi zote ziko destined Dar 😅

plus really, Kenya still imoports more than double the number of cars imported in TZ per annum 🤣🤣
sasa mbona unalia ??😂😂😂
 
Mko na mpango na mchezo upi?

Nyinyi hamna mpango na Mchezo wowote ule.....

And please don't say football coz TZ is the lowest ranked country in East Africa according to FIFA.
Kitu kingine..CAF ranking ambayo inategemea clubs competitions under CAF tumewaacha..
This rank means top 12 wanaleta timu nne kwenye caf clubs competition..nyie mnabaki na kuingiza timu mbili tu
Na next season hamuingizi timu yoyote sababu ya FIFA ban
Na hapo, simba ikiwatoa orlando pirate wa SA, tunaruka hadi nafasi ya 8
 
Tony254 naona mambo motoo😅😅😅 yani nato yote pamoja na ukraine munapigana na mtu mmoja urusi
 
munaua wananchi bure kwa ajili ya kuonesha dunia kua russia ni mbaya serious?? Tony254 hzi ni silaha za western zinazotumiwa na ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…