Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't say you were not told [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

 
Acha kuwa mpuuzi wewe 500m iwe ni sponsorship ya kujivunia eti mna control uchumi wetu.? Kwa tz premier league .? πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiyo si pesa ya maji ya kunywa Simba itself inatumia zaidi ya 2B each year kwaajili ya kujiendesha
Premier league Tanzania inadhaminiwa na NBC Bank (Twiga wetu wa ukweli)😎

 
Mi najiuliza mbona inaikalia wizara ya Ujenzi namna hii? Naskia Sinohydro huyuhuyu kapewa tender ya Dodoma Airport! Alitokea Kenya! Mbona Starbag asipewe aendelee? Hata kwenye ujenzi wa meli kampuni za kikorea zipewe tenders!
 
Ukiwaambia walete uchunguzi wao hawana majibu ila wanakataa utafiti wa wenzao .

Nimecheka hapo uliposema nature of Tanzanians is to deny everything πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„..

Hujakosea hata uwaeleze ukweli wataishia kupinga,kubisha na upuuzi kama huo.
 
Good enough kushuka kwenyewe kutategemea na GDP per Capita na Hali halisi ya maisha mtaani.

Ngoja tusubirie mda maana kasema kwa mipango ya serikali yake na mambo anavyoyaona Hali itakuwa njema zaidiπŸ‘‡



 
Sijui mbona wengi wenu hawapendi ukweli na utafiti wowote kwao not favoring their ego ni uchwara πŸ˜‚.
 
sri lanka nae inajinyea sasa hvi 🀣🀣
Huu ni muendelezo tuu wa struggling kwa hii Nchi.

Sri Lanka haijaanza juzi wala Jana kupata shida za Uchumi,toka 2019 inafanya quorta ya importation of goods kwa sababu hawana forex za kutosha,utalii wanaoutegemea covid iliufyeka on ther other side China imeikaba kwa madeni baada ya kushika bandari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…