The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Sukuma gang na Chadomo watakwambia vitu vimepanda Bei 🤣🤣🤣.
Ma Prof Uchwara wa Udsm,sua ,dit etc hawawezi kutokea kwa aibu 😬😬😬Hapa ndio huwa namkumbuka Paul Christian Makonda
[emoji3][emoji3] asa kwani we hujui kuwa japaniz na wabongo yaani sisi TZ ni one blood...... one language .... one colour.......ebu muangalie pm majaliwa rangi yake na ya mjapani zinang'aa......na ...sema wao tumewagawia ardhi kule rooftop far east ....aisee.. kiswahili kidogo ndo imekaribia lugha ya japanese zaidi duniani, hivi majina flani ya kiswahili, iko synonymous na japanese.
majina kama haya:-
-Tutako Takashika.
-Tutoto Takahara.
-Shiro Kawakuro. (Shiro is a girl's name in kenya. and Kuro is 'a prostitute' in kenya)
-Takashika Inamoto.
-Nitahama Nikitaka.
-Nitakuja Nikitaka.....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
yani japanese huaga inanibamba ile mbaya aisee..
kama haujui kenya ni Nato Member, wazazi wakiwa Uingereza na Marekaninchi ulizozitaja zimeathirika moja kwa moja na vita ya ukraine vs Russia kwa kujiunga na vikwazo vya anga, mafuta, gas, vikwazo vya fedha nk, kunyaland mmehusikaje hapa zaidi ya kucheza ngoma isiyo wahusu?
nchi ulizozitaja zimeathirika moja kwa moja na vita ya ukraine vs Russia kwa kujiunga na vikwazo vya anga, mafuta, gas, vikwazo vya fedha nk, kunyaland mmehusikaje hapa zaidi ya kucheza ngoma isiyo wahusu?
stupidy, endeleeni kujikomba mtaolewa woteekama haujui kenya ni Nato Member, wazazi wakiwa Uingereza na Marekani
Tanzania gani imeendelea? Nipee ya Sirare na umalizie na KahamaTaja kwingine, Tanzania imeendelea from right left to the center.
yani kila mtu acheze kwa lane yake, sisi ni Nato, tanzania nyinyi na wa Russi, ujamaa kawafanya vilestupidy, endeleeni kujikomba mtaolewa wotee
Huo uharo ndio inakunyima usingizi unashinda humu usiku na mchanaacha kufananisha uharo wa kunyaland na madola makini,
Tanzania hatufuati wala kutegemea nchi nyingine katika mambo yetu muhimu kama kunyaland. Tanzania tunafuata sera yetu ya taifa ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA "NATIONAL SOCIALISM AND SELF RELIANCE" Hii ndiyo maana watanzania hawaombi chakula kwa majirani wala ulaya. poor kenyansyani kila mtu acheze kwa lane yake, sisi ni Nato,tanzania nyinyi na wa Russi, ujamaa kawafanya vile
kale ka msemo ka three blue towers kanaenda kanapotea kiaina