Kwa ground vitu ni different. 😂😂😂Technology ya kizamani hyo, dunia ya sasa inaenda na mwendo wa spider [emoji2765][emoji2764] ona hii hapa [emoji116][emoji116]View attachment 2171581View attachment 2171583View attachment 2171584View attachment 2171585
Kwahiyo unajisifu kwa kushindwa kutumia diplomasia badala yake unajisifu kwa kupigana, we are smarter than you guys, we managed to convince them orally [emoji23][emoji23][emoji23]Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana hapa Afrika ambayo ilipigania uhuru wake kupitia vita sio diplomasia. Nchi zingine pia ambazo zilimwaga damu ili kujipatia uhuru ni Zimbabwe, South Afrika, Namibia na Angola. Ila nchi kama ya Tanzania mlipewa uhuru baada ya mazungumzo tu. Halafu bado mnajifanya kwamba nyie ndio mnajua kupigana na mabeberu kutushinda sisi ilhali nyie hamkupigana na mabeberu mwanaume kwa mwanaume kama sisi tulivyofanya. Wakenya 50,000 waliuwawa katika vita vya Mau mau. Wakenya wengi ikiwemo wamama na watoto waliwekwa katika concentration camps. Vitabu vimeandikwa kuhusu hili mnaweza kuvisoma. Serikali ya UK iliomba msamaha kwa mateso na mauwaji iliyofanya Kenya wakati huo.
Cc ichoboy01
Geza Ulole
joto la jiwe
Ndio wanaotawala ardhi yote na viwanda vyote vikubwa na majengo mengi hapo Nairobi na kuwaacha wakenya wengi wakiishi kwenye mabanda ya nguruwe kule Kibera na kufa kwa njaa kule Turkanana wao ndo walifanya kenya kua dominant na ikalie miji zote za eastern africa hadi waleo.. inasemekana nairobi modernity ilikua ina grow pamoja na london at the wake of the 20th century. ndo maana ata mw. j.nyerere kaitaja nairobi kama 'london' kwa wakati moja
Sasa ona.., Air Tanzania ina dominate route za dala dala na bado ina chemsha, yaani ni losses tu, showing hakuna wateja wa kutosha😂😂🤣🤣, unajua Kenya kuna airlines company ngapi zinapiga routes za dala dala wewe? KQ haina monopoly, inapewa competition sio mchezo, na zingine zinaruka hadi Zanzibar? na pia angalia number ya domestic passengers per plane in a month kisha uje tusemezane pole pole, hauna taarifa yeyote, ni zile shabiki zenu za kusifia Tz without doing comparison analysis, una post tu data na haujachunguza upande wa jirani.., angalia hii schedule ya leo ya Zanzibar, KQ and other airlines it operates plus other Kenyan ones vile zinatesa anga yenu, Kenya kupata ndege za Tanzania sio rahisi vile..,Una facts au unabwata tu
Qatar Alone comes to Dar 3x a day
angalia Domestic routes za Air Tanzania alfu uniambie kama KQ inaruka to that many destinations in Kenya
Leo pekee
Mwanza 3x
Kilimanjaro 3x
Mbeya2x
Mtwara
Dodoma 2x
Songea
Kigoma
Nairobi 2x
Harare
Lusaka
Zanzibar 4x
View attachment 2171513View attachment 2171514View attachment 2171515View attachment 2171516View attachment 2171517View attachment 2171518View attachment 2171519View attachment 2171521
View attachment 2171524View attachment 2171525View attachment 2171526View attachment 2171527
Hakuna neno "kukunya"Wala hakuna neno "kukunia". Labda unazungumzia "Gikuyu", hicho sio Kiswahili[emoji23]Hawa wapuuzi huwa wanasema "kukunya" badala ya "kukunia."
Hizo tunazo kitambo sana kijana nyie ndio mnapata leo! Angalia hapo chini nikipata picha nzuri nitaweka. Tena tunazo zaidi ya moja.The best 007 huwa anaamini kwamba hakuna kitu ambacho kipo Nairobi ambacho hakipo Dar. Sasa Malazy hebu tuonyesheni ice rink ambayo ipo Tanzania.
Balala reopens Panari ice rink, the only one in East Africa
Tourism and Wildlife secretary Najib Balala said the reopening of the rink will be a boost to ice-skating games, after Ice Lions, Kenya's only ice hockey team, hit global headlines two years ago.www.businessdailyafrica.com
Tanzanians are civilized people, not like Kunyans[emoji23][emoji23][emoji23]huyu mtapeli anataka nini toka kwangu wajameni..? eti Alex Juma Tz...!?[emoji848]
jiwe la moto, sijui pia kama hapo bongo, kuna tapeli kama hawa...
View attachment 2171580
Kukufa badala ya kufa....Mnasema kukula badala ya kula...
Wapumzishe hizo picha waweke nini mkuu maana hawana cha kuweka zaidi ya hiyo expresswayPumzisheni hizi picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
brand new vs mtumba!
Duuu, jirani nyie washamba sana, mnaanza kuringishia hadi ice rink? Hadi tony wewe kweli wakutamba na ice rink? Vitu vidogo hivyo sana kwa TZThe best 007 huwa anaamini kwamba hakuna kitu ambacho kipo Nairobi ambacho hakipo Dar. Sasa Malazy hebu tuonyesheni ice rink ambayo ipo Tanzania.
Balala reopens Panari ice rink, the only one in East Africa
Tourism and Wildlife secretary Najib Balala said the reopening of the rink will be a boost to ice-skating games, after Ice Lions, Kenya's only ice hockey team, hit global headlines two years ago.www.businessdailyafrica.com
We hamnazo kweli unalinganishaje locomotive na coach elimu yenu itakuwa na shida mahali.Kwa ground vitu ni different. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2171871
View attachment 2171879
Watakuambia ya kwao ni "the first in Africa"Hizo tunazo kitambo sana kijana nyie ndio mnapata leo! Angalia hapo chini nikipata picha nzuri nitaweka. Tena tunazo zaidi ya moja.View attachment 2171901View attachment 2171902View attachment 2171903View attachment 2171906View attachment 2171909View attachment 2171910View attachment 2171911View attachment 2171912
Huyo ndio bwana Tony, ni mtu wa kusahau sahau kupita maelezo, usidhani kwamba hatujawahi kuweka picha za huo mchezo, tumeweka mara kibao na yeye mwenyewe amekomenti au ku like picha sema ndiyo hivyo tena memory ndogo keshasahau, kwa usahaulifu huu alionao bwana Tony cjui inakuaje huko ofisini, atakuwa anasababishia kampuni hasara mara kwa mara huyu Bwana Tony.Hizo tunazo kitambo sana kijana nyie ndio mnapata leo! Angalia hapo chini nikipata picha nzuri nitaweka. Tena tunazo zaidi ya moja.View attachment 2171901View attachment 2171902View attachment 2171903View attachment 2171906View attachment 2171909View attachment 2171910View attachment 2171911View attachment 2171912
Hapa unataka kusema nini??Kwa ground vitu ni different. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2171871
View attachment 2171879
na dunia kwa ujumlaTanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo zimewahi kushinda vita dhidi ya wazungu, nenda umsome Chifu Mkwawa aliyempiga mjerumani, hizo zote zilikuwa mbio za kupigania uhuru wetu Watz dhidi ya mabeberu. Alafu naona umetaja South Afrika nchi ambayo pia tuliisaidia kupigania uhuru wake na marais wote wa SA huwa wanaliongea hilo wazi wazi, na co SA tu bali Tz imesaidia nchi nyingi za Afrika kupata Uhuru wake na ndio maana ni miongoni mwa nchi chache zenye kuheshimika hapa Afrika.
Yani leo sikuachiii mpka uniambie why mnapendabkuharaa kwa miferejiiiSummery of what you have posted in two pictures [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 2171768
View attachment 2171772
Sasa rudishia wanageria picha yao😂😂🤣🤣Yani leo sikuachiii mpka uniambie why mnapendabkuharaa kwa miferejiiiView attachment 2171940