Mkuu mengine yaacheni yapite.Mangula kaamua kupumzika miaka 81 sio kitu rajisi kukaa madarakani after all mzee yupo na kilimo sana kwa sasa.Kwanza wamemchelewesha Sana alitakiwa kufukuzwa kitambo Sana.
Huyu ndio alikuwa anamtumia slow slow na Ndugai kumpinga mama.
Aliwahi Pinga mradi wa Bagamoyo kwa kisingizio cha eti haumo kwenye ilani,we nani unampinga Mwenyekiti?
Safi sana kila mtu apange safi yake
View attachment 2170379



