Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Note that kati ya hio gdp ya EAC ya $240 billion, takriban nusu yake ( yaani$110 billion) ni ya Kenya. Nchi zingine zote zinagawana hiyo nusu ingine iliyobaki.
Tony254, kenya hapa east africa ni kamavile
Russia vs Nato. yani
Ke. $110b vs (ug, tz ss, rw, br & drc. $130b)
tunawafinyanga wote m*kende combined.!
 
ichoboy01 hebu njoo hapa watu wako wameamua kusurrender na kusema kwamba wanaondoka Kiev. Hawataki ngoma ya Kiev tena kwa maana huko KIEV wameona moto
Hivi kwa akili yako unakubali kwamba Russia inaweza kushindwa hii vita?, Punguza kukurupuka unapoona au kusoma habari yoyote, kumbuka jinsi MK254 alivyokudanganya kuhusu kupatikana mafuta huko Lamu, uliandika insha ndefu Sana, nilikuonya kuacha kusherehekea jambo ambalo huna uhakika nalo, hasa likitoka kwa wakenya, kwasababu ninyi ni watu wa kupenda kujisifu Sana, unakumbuka nilicheka Sana sikutaka kujibu kwasababu ninawajua vizuri ninyi wakenya, Je Leo unaamini kile nilichokuambia?, hata hii vita ya Ukraine, nitakukumbusha tena, lazima Ukraine itakubaliana na matakwa ya Russia ya kuwa "Neutral', Ukraine haiwezi Shinda hii vita kwa kutumia silaha
 
Achana nae wengi humu walishampuuza,amebaki Kujijibu mwenyewe kama mgonjwa wa pale dodoma ile hosptali inayotambulika.
 
Yeah, I know the truth that rich tanzanians are begging to be treated in Kenya.
Name one rich Tanzanian who thinks about Kenya, In fact the opposite is true, many Kenyans are crossing border to Tanzania for medical attention, wether you like or not, Tanzania has the best Hospitals in East, Central and Southern Afrika out of South Africa
 
Who comes to Tanzania for treatment if not for poor Kenyan living along the Tanzanian border?
We are talking about majority citizens of Kenya and Tanzania, unfortunately lower class citizens who make over 80% in Kenya are treated as second class citizens, Kenya is a man eat man country.

Yaani tunawashangaa Sana ninyi wakenya, mnapozungumzia Kenya zaidi mnazungumzia Nairobi, na mnapozungumzia wakenya mnawazungumzia wakenya matajiri tu, wale masikini ambao ndio wengi mnawaona Kama ni takataka. Kwa taarifa yako, matajiri na politicians hapo Kenya hawatumii Hospitali zenu, wote hutibiwa nje ya Kenya hata kwa matatizo madogo, kumbuka pua ya Issac Rutto
 
Who comes to Tanzania for treatment if not for poor Kenyan living along the Tanzanian border?
Are they not Kenyans?, Why not Tanzanians living along the Kenya border go to Kenya for medical attention, it is only Kenyans coming to Tanzania?
 
Kula[emoji3][emoji3][emoji3] 5 mkuu [emoji109][emoji109][emoji109]
 
Pol ashapiga sana hiyo papuchi!!!hakuna jipya! hapo!😂
 
Usikute ni ujanja wa Putin kaamua kuwarudisha nyuma wanajeshi wake ili akipiga nyuklia asilete madhara na vifo kwa askari wake. Vita ni mbinu, akili , mikakati na ujanja mwingi. NIMEWAZA TU.
 
ichoboy01 hebu njoo hapa watu wako wameamua kusurrender na kusema kwamba wanaondoka Kiev. Hawataki ngoma ya Kiev tena kwa maana huko KIEV wameona moto
ww vita hvi bado hujavielewa 🤣🤣🤣 mbinu za kivita ni nyingi sana ila nusu ya ukraine iko chini ya urusi hasa yale majimbo yalikua muhimu kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…