Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata kwenye ICT hatupo nyuma hivyo the thing ni policies za mwendazake hazikuwa nzuri kwenye ku-attract hi tech investments! Kama suala la data centers Tanzania inapaswa kuwa mbele kwenye hili ukizingatia the ICT infrastructure iliyopo hamna nchi ina km nyingi za Mkongo EA kama Tanzania! Hata Data centers tunazo kama kumi hivi ukijumlisha na hii ya juzi ya RAXIO! special efforts hapa kwenye ku-attract vitu kama startups na clients wanaohitaji utunzaji wa data zinahitajika maana infrastructure yetu NICTBB inaendelea kuwa redundant!
 
umezunguka weee ad mwendazake kaingia.....haya em tueleze alzuia vipi uwekezaji kwe ict?
 
Kwa namna unavyochukia awamu iliyopita nilijua labda na miradi iliyoanza awamu iliyopita utachukia pia!

Sidhani kama upo sawa upstairs.


Unajiumbua,hiyo gharama ya awali tulipogwa na awamu ya 5 sasa tumekuja na bei halisi 😃😃.

Pili baada ya wazalendo kupiga pesa mradi ukawa unasua sua.Sasa hivi tunakomesha huu ujinga ambao ulienea Sana awamu ya 5 kwa sababu hakuna mtu alithubutu kuhoji wala kuripoti madudu ya wateule wa Mwendazake.
 
Ulishawahi kusikia Kuna mtanzania yeyote mwenyekujihusisha na maamuzi ya serikali ya Kenya kuhusu Mambo Yao ya ndani?, Hawa jamaa wivu na kuiogopa Tanzania ndio vinavyowaumiza
Kawaida ya ajenda yenu kutembeza propaganda eti Kenya inawachukia. Yani maandamano ya wanafunzi wengi kutoka nchi nyingi ila media zenu zinasambaza ujumbe eti Mkenya. They had to mention the Kenyan student............................heeeheee. Acheni kutuogopa bradhee.
 
Tanzania economy grows by average of 7% while Kenya at 5%, Tanzania leads Kenya in many sectors, mining, tourism, construction, Agriculture, FDI, gas, blue economy, and other areas of economy
just can't answer you at the moment, let me pass it over to Tony254 to act upon the same. he is a fully flagged economist holding B.Com(Econ)(Hon(UoN). he is well vast with matters economics, therefore fit enough to handle such a case. chao..
 
Yeah over last 5 years we had low imvestement kwenye high tech , fintech ,ICT ,na hata medical research
 
Kichwa nazi[emoji16]
 
Sasa Kuna mtumishi wa serikali ambaye hapangiwi pakufanyia kazi jamani
 
pia usisahau magaful alikua moto ya kuotea mbali[emoji95][emoji91]. ata tundulisu kahamia exile majuu kwasababu ya kuhofia mambo kama haya.. hehe[emoji38]. hivi tanganyika si afadhali
Watu wanaendelea kuuliwa huko kwenu na serikali haichukui hatua zote kuokoa maisha ya watu wake" Failed state"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…