Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ana dandia ma3 wapi? Mumemuomba aje afanye advertisement ya ma3 unatudanganya anadandia ma3.! Niendelee kushusha picha.? Hawezi kaa kwenye gari yenye bed bags. Kuweni makini mnapo leta picha zenu. Tuko radar. Kwa sasa kuna application uki feed picha inakuonyesha source yote ya picha ilipotoka.Kuweni makini.View attachment 572490
pembeni hapo namuona mdogo wake ojay chokoraa akizirurazurura ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
18514207_113052875940352_5125716028059287552_n.jpg

wow wow
Hilo pori au NN mbana majengo ni ya kuesabu , cement Kenya shida au

spensa_e
 
nice pic mkuu...imechukua nairobi nzima...all the three CBDs
Kwa maana yako apo hilo ndo jiji zima LA Nairobi, its better ligi yake iwe na Arusha maana kwa DSM chukua icho kijiji zidisha Mara tatu ndio unuse kwa mbali jiji LA DSM , poor Nairobi picha moja kijiji chote kinaenea na majengo yote yanaonekana mpaka MTU unaweza ona adi nyumbani kwake[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

spensa_e
 
Aty kunguni ndani y ma3.....only crazy Tanzanians can believe dat....cause they alwayz think we r equal. ..my friend ur country has way far to go to snooze where we r
 
Naaah! Fk this shi+.
we don't need no brt in Nairobi. we do have our Matatu Culture and are very proud of it. From the Graffiti to the Interior Designs, Leather Seats, Woofers, Tv Screens et al.... who needs brt shi+
Jozi, Casablanca, Pretoria, Dar, Cape town who else?Matatu is fk shit take it or lv it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaah! Fk this shi+.
we don't need no brt in Nairobi. we do have our Matatu Culture and are very proud of it. From the Graffiti to the Interior Designs, Leather Seats, Woofers, Tv Screens et al.... who needs brt shi+
Umesahau kunguni, kitu unapanda unatumua 4 hrs ndo ufike inamaana , Nairobi ata ifanyaje haiwezi kuwa na brt itabaki kuwa ndoto na ndugu zako wakija DSM cha kwanza anaomba umpeleke akapande brt at least anakwambia ameonja how its feal kupanda international standard public transportation

spensa_e
 
Cheki haka ka dem concodi wasee wanadandia hii ma3 vibaya sana
445aedbdf978d2b557bfe59cc10697b0.jpg

sent from iPhone 7
Ngoja nikupe elimu ya bure ushamba ukutoke , brt ya DSM hakuna east wala central afrika ,hakuna kuning'inia milango its full electronic kuanzia kukata ticket , kuingia ,kutangaza pa kushuka and automatic doors , huyo demu akija bongo brt anakaa ofisini tu kukata ticket sio kukaa milango ya matatu kuatarisha maisha yake na bado aliwe na kunguni

spensa_e
 
Hakuna anaweza jivunia vitu vya aibu kama hivyo lau awe mwehu!!! BRT hiyo ya Dar ni Aibu tu! BRT sio Mabasi tu, lazima iandamane na miundo mingine ambayo Dar is Slum haina!!

Ni kama kuwa na bullet train toka Dar ikienda Moro!! Ujinga, ile tu kijifananisha!
Nakusikitia maana mpaka utazeeka apo Nairobi hutakaa uone usafiri wa namna hii , nakushauri njoo DSM usafishe macho , LA sivyo kunguni wa matatuu watakumaliza apo Nairobi

spensa_e
 
Mnadhani brt ni expensive sanaa kenya haiwezi afford...ni less than 50B niko sure
 
Hakuna anaweza jivunia vitu vya aibu kama hivyo lau awe mwehu!!! BRT hiyo ya Dar ni Aibu tu! BRT sio Mabasi tu, lazima iandamane na miundo mingine ambayo Dar is Slum haina!!

Ni kama kuwa na bullet train toka Dar ikienda Moro!! Ujinga, ile tu kijifananisha!
Shida ni kwamba haufahamu brt , brt ndoa maana nimekwambia ndugu zako wa kenya wakija dsm cha kwanza kuomba ni umpandishe brt ila inabidi tunawasaidia sana maana ni full electronics na brt INA miundo mbinu yake usifikiri ni matatuu izo, unapoambia rapid transportation uwe unaelewa usifanye kichwa ngumu ,

spensa_e
 
Hakuna anaweza jivunia vitu vya aibu kama hivyo lau awe mwehu!!! BRT hiyo ya Dar ni Aibu tu! BRT sio Mabasi tu, lazima iandamane na miundo mingine ambayo Dar is Slum haina!!

Ni kama kuwa na bullet train toka Dar ikienda Moro!! Ujinga, ile tu kijifananisha!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] kaka umetapika......aiseeee roho inakuuma sana.....

na mwaka 2020 tunakuja kuitawala kenya.. maana hamjiwezi mpaka wazungu waje kuwashika makalio[emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom