Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar is Slum's Urinals
FJXS2552.jpg
 
Ni kweli sisi hiyo ni ngeni kwetu kama ujuavyo tz ilikuwa nchi ya kijamaa na Kenya ya kibepari ikimilikiwa na wakoloni mpaka Leo wakiendelea kuitawala Kenya kwa kila kitu mawazo uchumi ,lugha na fikra. Huwa nacheka sana ninapoona watumwa wa Kenya mkijivunia kiingereza. Wanachotaka kueleza watanzania Ni kwamba pamoja na mambo ya apartments na estates kuwa mageni ila kwa speed walionayo wanakila sababu ya kujivuna ukilinganisha na nyie kuwepo huko kwa muda lakin bado mna mabanda ya kutosha. Kwa msio jua Kenya Hawa wote mnaochati nao humu wakenya hawana uwezo wa kumiliki ardhi wala kuwa na nyumba. Maisha yao yote ni kupanga ndio maana sekta ya ujenzi huo inakuwa tofauti na watanzania kila MTU ana uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga atakavyo ndio maana changamoto ya miji isiyopangika Ni kubwa. Nilikaa Kenya nikafanya kautafiti kangu nikagundua wazungu wanaimiliki hiyo nchi waKenya ni wapangaji hata hizo apartments nyingi wajenga wazungu na wasomali wakenya Ni wachache sana ambao ni wamiliki na sababu hao wachache unakuta walikuwa watumishi wa serikali wakafisadi ,si mnajua rais wenu anamiliki kiasi gani. Samahani ukweli huwa unauma ukiambiwa na mtu anaekujua vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimekuelewa vizuri sana..
 
repost:
moja kati ya raha ya LDC ni uhakika wa upatikanaji wa chakula (guarantee to food security).

596f8bd81a588582f845d6f66cd9976d.jpg
947f216aebf399054faeb36ee2159f5c.jpg
a59fa93b8ceeb20318ab5388409ea420.jpg
b252b21a1dfc2028dd3d0b5175ae6e52.jpg
51bcbd2512169cd23b3b0c1081eae05d.jpg
46fb6ab4bed98261435bf804f3baf14d.jpg
bddcc773ca730f8cbee8996c95e7ac80.jpg
ea2e3f02a0ae4618e6abd0cbe003573a.jpg
13b5d40d25cf33278d99895f89c37c81.jpg
4b3e6c6caefcbcaa1e8ac70380da10a6.jpg
60e8eb2ebfa151aff22228d14231c602.jpg
 
[quote uid=41764 name="enoah" post=22563828]Ni kweli sisi hiyo ni ngeni kwetu kama ujuavyo tz ilikuwa nchi ya kijamaa na Kenya ya kibepari ikimilikiwa na wakoloni mpaka Leo wakiendelea kuitawala Kenya kwa kila kitu mawazo uchumi ,lugha na fikra. Huwa nacheka sana ninapoona watumwa wa Kenya mkijivunia kiingereza. Wanachotaka kueleza watanzania Ni kwamba pamoja na mambo ya apartments na estates kuwa mageni ila kwa speed walionayo wanakila sababu ya kujivuna ukilinganisha na nyie kuwepo huko kwa muda lakin bado mna mabanda ya kutosha. Kwa msio jua Kenya Hawa wote mnaochati nao humu wakenya hawana uwezo wa kumiliki ardhi wala kuwa na nyumba. Maisha yao yote ni kupanga ndio maana sekta ya ujenzi huo inakuwa tofauti na watanzania kila MTU ana uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga atakavyo ndio maana changamoto ya miji isiyopangika Ni kubwa. Nilikaa Kenya nikafanya kautafiti kangu nikagundua wazungu wanaimiliki hiyo nchi waKenya ni wapangaji hata hizo apartments nyingi wajenga wazungu na wasomali wakenya Ni wachache sana ambao ni wamiliki na sababu hao wachache unakuta walikuwa watumishi wa serikali wakafisadi ,si mnajua rais wenu anamiliki kiasi gani. Samahani ukweli huwa unauma ukiambiwa na mtu anaekujua vizuri.<br /><br />Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]<br />Mimi nimekuelewa vizuri sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakichaa ww, itawachukua miaka zaidi ya 20 mje kua na brt. ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naaah! Fk this shi+.
we don't need no brt in Nairobi. we do have our Matatu Culture and are very proud of it. From the Graffiti to the Interior Designs, Leather Seats, Woofers, Tv Screens et al.... who needs brt shi+
 
Naaah! Fk this shi+.
we don't need no brt in Nairobi. we do have our Matatu Culture and are very proud of it. From the Graffiti to the Interior Designs, Leather Seats, Woofers, Tv Screens et al.... who needs brt shi+
+kunguni umesahau 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom