Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanii wa oyole alikula copper jana after ku engage kwa game za rithee. Hessy wa Dandora alimnyuria mbayaa.....vijanaa tusare noma ama utaangushwa na hawa må sansee.

epuka ngori mtu wangu.

nai-robbery
25fba338ffa0253ea1f8aa1cb8b7ebde.jpg
 
Mwanii wa oyole alikula copper jana after ku engage kwa game za rithee. Hessy wa Dandora alimnyuria mbayaa.....vijanaa tusare noma ama utaangushwa na hawa må sansee.

epuka ngori mtu wangu.
Huyo mwani alijifanya Starling sana naye,na huyo hessy ni yule mbanga alikua anaitwa voiyo
 
Mtu akiishi kwenye mazingira kama hayo ya Dar is Slum, hajui tofauti ya Slum na City. We understand. No wonder nilisikia mnajisaidia huko vikojozi!!
Nakusikitia maana mpaka utazeeka apo Nairobi hutakaa uone usafiri wa namna hii , nakushauri njoo DSM usafishe macho , LA sivyo kunguni wa matatuu watakumaliza apo Nairobi

spensa_e
 
Leo nimepitia gong road nikaona crains mbili zinasimamishwa kwenye site ya pinnacle,nako upande wa montave nikaona excavater mbili zikingoa visiki......ichoboy jamaa wa white elephant uko wapi?
 
Back
Top Bottom