Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your comedian Mr . Eti ndege moja ipate faida kuliko 10+ ndege , wakati ndege yenu ilikua inaenda USA haina abiria haaaaaaaa. Nadhani uongo wako sasa ni kama comedy tu
Your entire fleet brings a total revenue of $70M, KQ of ndege "tatu" as you like to say, generate a revenue of $520M.
 
tunaongelea kufufuliwa kenge wewe hujui aliefufua ATCL au unajitia upunguwani hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ilikuwa imekufa? Did ATCL stop operation na hatujui?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ilikuwa imekufa? Did ATCL stop operation na hatujui?[emoji23][emoji23][emoji23]
iliyumba kiasi kwamba ni kama ilikufa kabisa na sasa ikazinduliwa rasmi kwa kununuliwa ndege 11 kwa mpigo na serekali na sasa zingine 5 zinaingia mwaka huu kaa mkao wakula na ukumbuke ni cash deal hakuna loan wala mama yake loan 😂😂😂 najua hupendi ukweli ila vumilia tu
 
iliyumba kiasi kwamba ni kama ilikufa kabisa na sasa ikazinduliwa rasmi kwa kununuliwa ndege 11 kwa mpigo na serekali na sasa zingine 5 zinaingia mwaka huu kaa mkao wakula na ukumbuke ni cash deal hakuna loan wala mama yake loan [emoji23][emoji23][emoji23] najua hupendi ukweli ila vumilia tu
Na bado mnapata revenue ya $70M?[emoji23][emoji23][emoji23]. So ndege moja inaleta revenue of around $6M Kwa mwaka and $17k in a day?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na bado mnapata revenue ya $70M?[emoji23][emoji23][emoji23]. So ndege moja inaleta revenue of around $6M Kwa mwaka and $17k in a day?[emoji23][emoji23][emoji23]
nimekwambia kwa biashara ya ndege miaka minne ni michache sana ukumbuke bado investment inaendelea ATCL ndio maana utashuhudia mwaka huu ndege 5 zinaingia

nyinyi miaka 50 bado munamiliki ndege tatu chakavu alaf munataka profit serious ?🤣🤣

KQ inaendesha hasara leo miaka 10 mfululizo bila matumaini sasa hvi munakopa pesa kufufua maiti aliekufa 😂😂😂

na labda ngoja nikwambie wanaofaidika KQ ni wale wenye ndege zao ambazo nyinyi mume lease kwao hao ndio wanaonufaika kwasababu lazma mukope kuwalipa wao 🤣
 
nimekwambia kwa biashara ya ndege miaka minne ni michache sana ukumbuke bado investment inaendelea ATCL ndio maana utashuhudia mwaka huu ndege 5 zinaingia

nyinyi miaka 50 bado munamiliki ndege tatu chakavu alaf munataka profit serious ?[emoji1787][emoji1787]

KQ inaendesha hasara leo miaka 10 mfululizo bila matumaini sasa hvi munakopa pesa kufufua maiti aliekufa [emoji23][emoji23][emoji23]

na labda ngoja nikwambie wanaofaidika KQ ni wale wenye ndege zao ambazo nyinyi mume lease kwao hao ndio wanaonufaika kwasababu lazma mukope kuwalipa wao [emoji1787]
Why are you writing a long story? Tushakubaliana kuwa ATCL only generates $70M dollars in revenue compared to KQ which is racking a whopping $520M[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom