Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kumdanganya kivipi? tunawaambia reli inakuja...ndio hio imefika...tukawaambia tutaleta barabara ya thika road...sasa hivi ndio barabara bora afrik mashariki nzima..mombasa port ndio port kubwa ukanda huu...airport yetu pia..wakati mmenunua nedege bombadier zafanana na mitungi ya chang'aa lol! huwa mnachekesha sana mkuu
Reli,roads mmh mtakuja kubaki history

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thika will soon became best of the past. ..Dar to Chalinze super doper highway will replace baby thika

Sent using Jamii Forums mobile app
mapicha yatiirrike kwanza kisha niamue...ila kuna nairobi mombasa high speed highway..lol! umesahau natulkua nawewe kule kwa uzi...yaani inajengwa na wamarekani...hehe...mkileta moja tubaleta mbili...wakenya ni watu wa ajabu...by the way mkuu...the pinnacle towers haikuwa iwe the tallest but after they saw TPA, they revised it and it became the tallest...yaani huwa tuangoja mjenge ya mawingu ili sisi tulete ya kufika mbinguni...its called EA most advanced economy...hakuna mchezo hapa...hapa kazi tu...
 
nikisema kuwa nyie wakenya asilimia kubwa ni machizi kutokana na ugumu wa life hapo nairobi mtakataa

hebu jitazame
157ffd98c5e7447e74249441c180cb65.jpg
ni stupid kenyan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapicha yatiirrike kwanza kisha niamue...ila kuna nairobi mombasa high speed highway..lol! umesahau natulkua nawewe kule kwa uzi...yaani inajengwa na wamarekani...hehe...mkileta moja tubaleta mbili...wakenya ni watu wa ajabu...by the way mkuu...the pinnacle towers haikuwa iwe the tallest but after they saw TPA, they revised it and it became the tallest...yaani huwa tuangoja mjenge ya mawingu ili sisi tulete ya kufika mbinguni...its called EA most advanced economy...hakuna mchezo hapa...hapa kazi tu...
hahah yani maneno yako hua yananifurahisha sana we unatuetea mambo ya ndoto ya 40 yrs kaka 😀😀😀😀
try to be serious bro plz 😛😛😛😛😛😛
kwanza malizeni vita ya kisiasa alafu murudishe status ya uchumi wenu ambayo inawagharimu in out alafu muanze kufkiria ndoto hzo ambayo itawachukua 20 to 30 yrs tena kwasababu kila nchi iko macho kwenye maendeleo sio kama 10 yrs back
 
haya nawewe nakwambia kama nilivomwambia mwenzako hio ni ndoto ya alinacha itabaki ya history ila tafadhali usije nikimbia nakusihi😀😀😀😀😀😀😀😀
kwa jinsi anavyojidanganya jengo litaisha kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa.....uyo jamaa ana vituko kweli....kizuri siku hazigandi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You follow so much on Kenyan affairs. But it's good at least we know you look up to us.

Sent using Jamii Forums mobile app
nyie ndiyo macartoon wa dunia ....lazima tuwacheck ili tuwape msaada wakisaikoloj maana asilimia 80 ya wakenya ni machizi matahila.....

hata hao wakenya wenzenu wanao sababisha vifo kosa si lao ni uchizi na umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom