Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tanzania does not produce high-end and technological engineering products. toeni ata moja tuone..

East African Cables kwa mfano ni baadhi ya kampuni moja tajika inayo tengeneza nyaya ya stima, na inayo enezwa bara lote la africa

View attachment 2162829
Electric transformers, electrical switches and gears
 
Miaka mi4 nyuma hili eneo lilikua kichaka

Halafu wanakuambia wana matumizi makubwa ya cement kuliko Tanzania 🤣

View attachment 2162618
Heeheee..............Hapa Syokimau palikuwa mbuga ya Zebra 5 years ago. 😂😂😂

DSCN4836.png

loneview_apartments_3_bedroom_apartment_for_sale_in_syokimau_5890128621691084647i5.jpg
aerial-view-of-middle-class-apartment-buldings-in-nairobi-kenya-video-id1252663158
featured_images_022.png
 
Kwa akili yako kati ya ujenzi niliokuonesha wa Tanzania na huu ujenzi wa kunyaland ni upi unatumia vifaa vingi vya ujenzi thus cement?
Huyu zwazwa itakuwa ndiye yule yule teargas a.k.a cartoon mana maumivu anayoyapata kuhusu Tz ni kama cartoon anavyoumiaga.
 
Kwa akili yako kati ya ujenzi niliokuonesha wa Tanzania na huu ujenzi wa kunyaland ni upi unatumia vifaa vingi vya ujenzi thus cement?
Heeeheeee

Yani uliganishe hizi apartment zote na hivo vibungalow vyako vya Dom. Na hata hiyo sii 1% ya Syokimau.
 
Huyu zwazwa itakuwa ndiye yule yule teargas a.k.a cartoon mana maumivu anayoyapata kuhusu Tz ni kama cartoon anavyoumiaga.
😅😅😅 Yaani Wakunya ufikiri wao upo chini sana, analinganisha ujenzi wa apartment na ujenzi wa stand alone house

Apartments za watu elfu 1 zinaweza kuwa na bati au roof 1 tu, je stand-alone houses za watu elfu 1 zinaweza kuwa na roof 1? 😂😂
 
Yani hawa jamaa hawatuwezi hata robo, unaambiwa kamji kao Konza kamegharimu $14.5bn wkt cc SGR phase 1& 2 zimegharimu $14.2bn hapo bado hawajataja phase 3 wala phase 4, hapo hawajaongelea JNHPP, wala Dodoma city na bado jamaa wanajipa moyo eti wametuzidi kwenye cement consumption.

Ss unajiuliza wametuzidi consumption kwn wanajenga nn cha maana hawa watu, unabaki kucheka tu
Kiuhalisia ukijumlisha thamani za miradi tunayofanya hapa Tz itakuwa tunawapita zaidi ya $50bn. Ndio maana huwa tunasema thamani ya projects zinazofanywa Tz ni sawa na uchukue nchi zote za EA combined na bado hawataweza kutufikia.
 
Yani hawa jamaa hawatuwezi hata robo, unaambiwa kamji kao Konza kamegharimu $14.5bn wkt cc SGR phase 1& 2 zimegharimu $14.2bn hapo bado hawajataja phase 3 wala phase 4, hapo hawajaongelea JNHPP, wala Dodoma city na bado jamaa wanajipa moyo eti wametuzidi kwenye cement consumption.

Ss unajiuliza wametuzidi consumption kwn wanajenga nn cha maana hawa watu, unabaki kucheka tu
Konza city tunaoambiwa itakula cement nyingi ndio hii 🤣🤣🤣🤣🤣

20210422_111504_DSCF1506-768x432.jpg

20210422_102843_DSCF1375-768x432.jpg
 
Back
Top Bottom