Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
pinnacle ni ya 2019 december...namba mtaisoma...Izo nyumba za avic na pinnacle ndio zimewaboost sana last year mlikua na nyumba 30 vs 27 nashangaa ghafla mmepaa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Lakini si ndio kwanza wanachimba msingi mana sio kwa mbio hizi
Sent using Jamii Forums mobile app