Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kama kuna sovereign state kwa nini tunalazimishana kuwa against Russia.
Juzi America anampiga mkwara China endapo atamsaidia Russia.
Hii Dunia kungekuwa kuna uhuru wa nchi kujiamulia mambo kwa manufaa yake Afrika Tungekuwa mbali
 
Onesha company ya mkunya kama hii company ya Mzimbabwe ilivyomwaga ajira kwa wabongo

Na sio unasema companies za wazungu kutoka kunyaland ni za Wakunya

Wakenya wanachekesha sn, yn kampuni 600 zime invest $1bn hapa Tz alafu wanakuambia wana control uchumi wa Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My take: Hizi sio kampuni bali ni mabanda ya mama ntilie.
 
Wanajiita wazalishaji number 1 wa avocado Africa, huku wakipiga ban nchi nzima kusafirisha avocado sababu ya kuzisafirisha zikiwa bado mbichi na hivyo kiharibu soko

Si waseme tu ukweli, saivi Tanzania ina pack na kusafirisha parachichi zake yenyewe bila mkunya?



 
Wakenya wanachekesha sn, yn kampuni 600 zime invest $1bn hapa Tz alafu wanakuambia wana control uchumi wa Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My take: Hizi sio kampuni bali ni mabanda ya mama ntilie.
Tanzania yenye real GDP ya zaidi ya dollars billions 150 ishikiwe uchumi na companies zenye thamani ya dollars billions 1? 🤣🤣🤣🤣
 
Ikiwa ni shida kuya intercept yenyew kwanin kusiwe n mfumo wa kudetect vifaa vinavyo beba hizo hypersonic missiles before armed ,mfn magari, dege,nyambiz nakumalizana navyo? So far Russia is wining sabab wapinzani wananza kuingia kaubarid na sizungumzi wa Ukraine bali nato, USA nawashirika wao
 

Tazama kipindi cha Yule mzee wa msoga, na sasa tunaweza enda kule. Angalau JPM aliondoa huu upuuzi
 

$1.7b [emoji3][emoji3][emoji3]
 
$1.7b sio hela kidogo babake, ata muulize Tony254 aliye itimu na shahada/bachelor of commerce (accounting option) Hon. UoN, akufafanulie zaidi

So assume we auction those poor companies and get $1.7b
What are we going to do with 1.7 really [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tanzania yenye real GDP ya zaidi ya dollars billions 150 ishikiwe uchumi na companies zenye thamani ya dollars billions 1? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inachekesha sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya wanachekesha sn, yn kampuni 600 zime invest $1bn hapa Tz alafu wanakuambia wana control uchumi wa Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My take: Hizi sio kampuni bali ni mabanda ya mama ntilie.
Those are SMEs mkuu kama machinga tuu huku au wenye vijiduka.
 
Those are SMEs mkuu kama machinga tuu huku au wenye vijiduka.
Huwa wakijisifu kuhusu kuwa na kampuni Tz hawatajagi ni kiasi gani hizo kampuni zime invest hapa Tz, wanaona aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaka mbona swala la kuwinda halijaanza leo mzee...mbona lipo toka enzi za zaman wakati wa nyerere i think..but sidhani kma angeweza hayo mengine unayosema sijui madini etc..ila kwenye kuwinda ni kama unahisi hili swala ni jipya wakati lipo muda mrefu..

Sina uhakika kama hela zote zitaenda kusaidia hizo community lakini ndo walichosema ..we have to wait and see..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…