Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee wakupika Data. Wameingia skyscraper city wakafanya yao alafu wakatuletea humu. Wakenya kwa kupika Data sijui wataacha lini! Tatizo itakuwa unemployment ndoyawafanya mfanye hivyo. Mnajiaibisha sanaaa.
source ndio hii😀😀😀😀😀😀😀😀😀 imetoka kwa umwishi wami
9e1ec1d3b082dc2595402036182823e6.jpg
 
Annael kawe city mbona sijaiona😀😀😀
Ama kweli utawaua
The problem with these Satellite Cities ni kwamba izo Towers unaziona kwa renders huwa haziko specified zitakuwa floor ngapi.
Ama unataka kusema ni 50flrs by 5 ?
 
Wasichojua wakenya nikuwa sisi sikila jengo linalojengwa tunaliweka skyscrapercity au humu. Kuna majengo mengi Dar es salaam marefu hadi 20 floors hayapo skyscraper city. Lakini Kenya hadi jengo dogo mnakimbilia skyscraper city kuliweka. Nilipitia nikacheka sana. Upanga kuna gorofa ndefu sana lakini hazipo skyscraper city wala humu. Its like being jobless mmeamuwa kuwa mnahesabu nakupiga picha kila ghorofa. Kutojishugulisha nivibaya. Mme kuwa mki expose mambo yenu mengi sana kwenye internet. Ndo maana Leo hi mnapata wakati mgumu kwenye hii battle. Kuna information nyingi juu ya Kenya ninazo lakini nawahurumia kuziweka humu. Kenya yote imekuwa exposed kwenye internet kiasi kwamba mkafikia had I stage yakupika data.
 
Nairobi kufikia status za kimataifa kama izi ni ndoto , nyie endeleeni na kutumia matatu zenye zenye kunguni hii international standard public transportation hamuwezi fukia uku

spensa_e
Mtu akiishi kwenye mazingira kama hayo ya Dar is Slum, hajui tofauti ya Slum na City. We understand. No wonder nilisikia mnajisaidia huko vikojozi!!
 
Nairobi kufikia status za kimataifa kama izi ni ndoto , nyie endeleeni na kutumia matatu zenye zenye kunguni hii international standard public transportation hamuwezi fukia uku

spensa_e
Mtu akiishi kwenye mazingira kama hayo ya Dar is Slum, hajui tofauti ya Slum na City. We understand. No wonder nilisikia mnajisaidia huko ndani kwenye BRT1!! vikojozi!!
 
Ushirika Tower ujaweka. Mawasiliano tower
Tunaanza na hapa

1. TPA |40F |

2. PSPF Tower A|35F

3. PSPF Tower B|35F

4. Mzizima Tower Office |35F

5. Mzizima Tower Residential|33F

6. PPF HQ |35F|

7. MNF Tower 1 |32F |

8. MNF Tower 2 |32F |

9. Uhuru Media Tower |32F|

10. Rita Tower |30F |

11. Millenium Tower II|30F |

12. Dar es salaam Stock Exchange |30F|

13. NHC Morocco Square Tower 1|30F|

14. NHC Morocco Square Tower 2|30F|

15. NHC Golden Anniversary Building |26F|

16. Umoja wa Vijana Complex Tower 1| 25F |

17. Umoja wa Vijana Complex Tower 2| 25F |

18. Uhuru Heights | 25F |

19. NHC Morocco Square Tower 3|25F|

20. PSPF Tower |24F |

21. NHC Tower |23F|

22. 3.Quality Boulevard|22F |

23. Benjamini Mkapa Towers Tower |22F |

24. City Plaza | 22F |

25. KHAKI PLAZA|22F|

26. Viva Tower Tower 1| 21F |

27. Viva Tower Tower 2| 21F |

28. BOT tower North|20F|

29. BOT Tower South|20F|

30. NHC Victoria palace |20F|

31. Dar es Salaam|Sanaa Tower|20|

32. Al Karimo Plaza|20F |

33. NSSF Ilala Mafao House|20F|

34. Ushirika towers | 20F |

35. KKOO Mall |20F

36. Sky Tower |22F

37. Golden Jubilee House |24F

38. IT Plaza |22F

39. PSPF House |24F

40. NHC Commercial Complex|21F

41. UPANGA ELITE RESIDENCY |20F

42. Golden Premier Residences |27F

43. Kilimanjaro Towers |20F

44. Center Promise Tower |35F
 
Wasichojua wakenya nikuwa sisi sikila jengo linalojengwa tunaliweka skyscrapercity au humu. Kuna majengo mengi Dar es salaam marefu hadi 20 floors hayapo skyscraper city. Lakini Kenya hadi jengo dogo mnakimbilia skyscraper city kuliweka. Nilipitia nikacheka sana. Upanga kuna gorofa ndefu sana lakini hazipo skyscraper city wala humu. Its like being jobless mmeamuwa kuwa mnahesabu nakupiga picha kila ghorofa. Kutojishugulisha nivibaya. Mme kuwa mki expose mambo yenu mengi sana kwenye internet. Ndo maana Leo hi mnapata wakati mgumu kwenye hii battle. Kuna information nyingi juu ya Kenya ninazo lakini nawahurumia kuziweka humu. Kenya yote imekuwa exposed kwenye internet kiasi kwamba mkafikia had I stage yakupika


Majengo mengi ya Kkoo na Upanga hayana thread SC
 
Back
Top Bottom