Hahaha. Akikujibu unitag.Kwa hiyo Mbeya hakuna train? Kwa nini barabara ziko busy kuliko reli? Barabara yenyewe ni single carriage unategemea isiharibike?
Na hiyo reli Ili iwe na maana lazima zipatikane collector roads ambazo hazipo.
source by who?? mama ngina πππof top 100 Secondary/High Schools in africa,
8 are in kenya,
(rift valley, int'l sch of ke, strathmore, alliance, starehe, lenana, nyeri, & hillcrest)
only 2.! are in tanzania,
(int'l sch of moshi & int'l sch of tanganyika)
see for yourself ππ½ππ½
View attachment 2157395View attachment 2157396View attachment 2157397View attachment 2157398
Nyie wafuasi wa Mwendazake mko blinded kwa hiyo uko sahihi kutoelewaNajiuliza apa umeandika nini? Mana sijakuelewa kabisaa
mashambulizi mengi yanafanywa na jeshi la ukraine ila ww hushangai, nato walishafeli baada ya russia kuingia sasa hvi wanapiga ile miji yenye wana support russia alaf wanasema russia wamepiga wakat ni waoichoboy01 najua unafurahia sana kuona video kama hii ya huyu msichana wa miaka miwili. Unahisi utamu sana sio?
Kwahiyo wakati mlipoamua kujenga huu mradi hamkufanya utafiti wa kutosha?.Kenya kwa sasa haina haja na huu mradi. Hawa watangoja sana kupokea fidia hio.
angalieni huyo mbwinga anaongea nn π€£π€£ππ½najua mkitengeza zana za ki nuclear hapa, target yenu pekee ya ku hitπ₯ haitakua nchi ingine bali kenya na kenyaπ°πͺ tu..!. kisa, kenya ni nchi inawapa ulcers, bloodpressure, na heartattack kilauchao since independence tukirejelea swala la kiuchumi, jambo ambalo mmshindwa kuelewa na kufafanua mbona, ilhali mna kila kitu, sio madini maradufu, sio nchi kubwa zaidi iliyo na 95% arable land, sio coast line ndefu zaidi.. yani imekua kama fumbo flani ngumu sana ππ
Population imefanya nini wewe tumbili? Hata Tzn tuna population kubwa kupita South Africa,je tumewazidi Economy?Ficha upumbavu wako,unajua population ya chinese? Unajua work ethic yao? Wamarekani kupitwa na chinese ni rahisi zaidi kuliko ww kumsukuma mleve
kwahiyo huoni dhulma?Kenya kwa sasa haina haja na huu mradi. Hawa watangoja sana kupokea fidia hio.
Wewe ndio jana ulisema kwamba SGR ya Kenya ikifika Uganda basi italeta faida halafu leo unasema kwamba SGR ya Kenya haina faida. Unajichanganya.Kwahiyo wakati mlipoamua kujenga huu mradi hamkufanya utafiti wa kutosha?.
Tony254, ninakuomba uweke kumbukumbu yako vizuri, nilikuambia kwamba SGR, Lamu Port na Mafuta ya Turkana ni miradi ambayo haina faida za kibiashara zaidi ya kutafuta "political milage",
Ni huzuni kuona dhulma hio. Nchi za Afrika bado tupo nyuma sana kwenye kuheshimu haki za binadamu.kwahiyo huoni dhulma?
Hahahaha, better trained?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa anajulikana huku kwa kupenda sifa. Anajua vizuri Kdf is more professional, better trained and better armed. Usipoteze muda, wachana na yeye.
na hapa marekani anakwenda kuanguka kwa mara nyingine tena kumbe sasa umeamini kua marekani ndio mchochezi wa vita vyote duniani yani ukikataa matakwa yake anakuletea vita ?? kumbe ushaanza kuelewa taratibuNilisema Saudi Arabia awache majivuno kwa marekani kwa maana bado anamtegemea Marekani ampatie ulinzi. Sasa ona ameanza kupigwa na Houthis wa Yemen tena.
alaf alshabab inawamaliza kila siku πππ watu hawajawah kua na training yoyote ya kijeshi ndio wanaowatoa nyinyi machoziHuyo jamaa anajulikana huku kwa kupenda sifa. Anajua vizuri Kdf is more professional, better trained and better armed. Usipoteze muda, wachana na yeye.
Hahaha. Wewe ni kichaa wewe. Eti NATO ndio inashambulia hizi miji za Ukraine? ππ€£πmashambulizi mengi yanafanywa na jeshi la ukraine ila ww hushangai, nato walishafeli baada ya russia kuingia sasa hvi wanapiga ile miji yenye wana support russia alaf wanasema russia wamepiga wakat ni wao
mushaanza kuwashana sasa π€£π€£π€£π€£Ati Gdp ya Nairobi ni $14 billion? We ulisikia wapi? (Kwa sauti ya Seleman Bungara)
kwa kifupi mumwadhulumu πππKenya kwa sasa haina haja na huu mradi. Hawa watangoja sana kupokea fidia hio.
kwann munawapa silaha ikiwa wao hawataki vita?? kwann nato inatoa silaha kwa ukraine ikiwa wao hawataki vita ??π€£π€£ jiulize kwa umakini bila hasiraHahaha. Wewe ni kichaa wewe. Eti NATO ndio inashambulia hizi miji za Ukraine? ππ€£π
it was compiled in south africa by experts there ππ½source by who?? mama ngina πππ
Kwa hivyo Nato iwache watu wa Ukraine wanyongwe kama mbuzi bila kuwasaidia?kwann munawapa silaha ikiwa wao hawataki vita?? kwann nato inatoa silaha kwa ukraine ikiwa wao hawataki vita ??π€£π€£ jiulize kwa umakini bila hasira