Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta source yako au unyamaze hadi ile siku mtafika.
hahahah yani unatuletea source ya skyscrapercity hahahahah pumzika baba
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
9e1ec1d3b082dc2595402036182823e6.jpg
 
29 vs 50 Enyewe hapa kwa over 20 floors number mtaishi kuisoma kwa miaka mingi sana.
 
Hata ukitaka tembea Dar mzima ukiingia buildings zote ukihesabu floor moja moja.
Usijari. Na hii issue tulishaiongeleaga sana kwenye thread hii. Kwakuwa unataka kufufua makaburi ngoja nikuletee hizo data.
 
Usijari. Na hii issue tulishaiongeleaga sana kwenye thread hii. Kwakuwa unataka kufufua makaburi ngoja nikuletee hizo data.
Uongo ndo mlikua mumejaza huko, leo mumepatikana hahahahhahahahahhahha tamu sana.
 
Uongo ndo mlikua mumejaza huko, leo mumepatikana hahahahhahahahahhahha tamu sana.
Subiri nakuwekea kwani tatizo lako ni nini? Just wait naweka data vizuri.
 
Hii ushamba ikona facts moja hadi 29 yenu hapa kumbe hua mdomo tu.
siyo.....mdomo.........mnajidanganya na hiyo skyscrapercity ......siku zote ilikuwa wapi hiyo source...mpaka iwe leo.....kwa building hamgusi niamini mimi....la sivyo utajifariji tu hapa kwa hiyo source ambayo hata chizi wa kibera anaweza kuiandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Facts ya skyscraperscity? Chang'aa imeshakufikisha Canaan
You can't divert my attention that your city only has 29 over 20 floors buildings. 29 pekee navile hapa hua mnapayuka utadhani nkona branch ya mnhattan huko. Kelele ndo hua mkonayo mingi.
 
[emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] punguza wenge ojay utakufa
ed599441c05493aeb4d8ea48610736f8.jpg
d1f929e312143b0e9db3475edde8400c.jpg
f98929a97594c1eacf3f8a7d39bd5444.jpg
8797a25436a6467ac456c5dee7ce9021.jpg
70e594215c3a30d5c31f2fe391d99a44.jpg
5cdc18aa0e9fe593ace6f200cddf2b75.jpg
8dd2c89dbf0385e6c03ce42d61f953f9.jpg
2ee557c122208fb157ee3295eee857ea.jpg
6c01af35481c22a892e29bf22cbdb3f8.jpg
8df9c77c8bf28acaa180f9a76671b426.jpg


nhingine soon nazimalizia[emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom