dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
roundi hii warussi wataokwa kuokwa. nato hapana machezo bamdogoHili nalo la Mmarekani linaitwa FIM-92 Stinger. Ni dude deadly sana la kuangusha ndege za adui. Waukraine tayari wanazo na wanazitumia
View attachment 2155311View attachment 2155313