Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jipe matumaini tu 😂😂😂😂
 
Who is the biggest investor in Africa now?, Who is the biggest financial lender to Africa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
achana na chizi hiyo,japo mda mwingine huwa yupo correct ila kwa sasa yupo kwenye mapungufu tu hana balance ,ni chizi huyo tiyar

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Well isn't that ironic? We're in the atomic age, and the same advancements could potentially wipe out our species before we even get the chance to conquer the solar system, let alone Mars.
We cannot refuse to develop immense power systems due to fear of wiping ourselves out
 

afadhar umeuliza, mana mwanzo nilitaka niseme ila nikakausha... afu sijasema mabwepande..

- ishu ya security: events zikifanyika sehem zote mbili wakat mmoja afu vurugu ikitokea huoni kuna hatari? mabomu je? watu watakaa kwa aman hapo?
-ishu ya umeme: hapo zipo eneo moja so the line ya umeme is same, umeme ukikatika wote watakosa umeme. utasema majenera yapo[emoji3]
-ishu ya folen: utaleta folen zisizo na sababu ya msingi kwa kukusanya watu/magar mengi sehem moja.. wakat huohuo serikali eti inataka kupunguza folen jijin Dar
-kueneza mji: kuweka hizo big infrastructures sehem moja unakosesha kuuneza maji, inabid hata watu wengine mfano mwenge, au hata pale ubungo maji wafarijike mtaan kwao kuna indoor arena[emoji23]
-unakosesha watu wengine kwenye ishu za biashara.. wafanyabiashara wa eneo hilo tu ndo watafaidika.. what if ukajenga mfano mbezi au ubungo maji au mwenge, kuna namna wafanyabiashara watawekeza huko na kulipa kodi (unaongeza kodi).. etc
  • umeongea ishu ya brt au barabara, mwenge brt itakuwepo, ubungo morogoro rd yote ina brt, hata huko tegeta brt itakuwepo.. sio lazima huku tu.. hata huko mbagala au sijui gongolamboto kunafaa ambapo brt itakuwepo pia, lkn sio kuweka sehem moja hapo Taifa
  • na mengine mengi tu wengine wanaweza kuongeza

na hapo taifa pemben ningeona ni jema kama wangejenga viwanja vidogo vidogo .. training pitches
 
Kwahiyo wanachofanya walio-host events like Olympics, Commonwealth games, All African Games hawakuona ur narrow inward thinking wakaamua kuwa na Olympic villages in the sense that sport events-facilities r in close proximity? Unaishi dunia ipi? Unakosesha mapato? Mbona wa Temeke hawajaleta siasa zako za mfarakano dhidi ya project ya Ubungo business complex ya Mchina? Temeke hawataki facilities sio? BTW Mwenge wapi kunatosha Indoor Arena? Wacha ujuaji mzee!

Mimi nimeomba economic benefits wewe unaniambia security na foleni as if Mwenge hamna foleni! BTW connection to airport is already improved with Mfugale overpass n now Uhasibu n Chang'ombe r coming up!
 
Kwahiyo wanachofanya walio-host events like Olympics, Commonwealth games hawakuona ur narrow inward thinking wakaamua kuwa na Olympic villages? Unaishi dunia ipi? BTW Mwenge wapi kunatosha Indoor Arena?

i’m narrow inward thinking and yet you expect me to answer your excellent questions?[emoji38] magenius bana
 
i’m narrow inward thinking and yet you expect me to answer your excellent questions?[emoji38] magenius bana
nipe mfano wa Olympic village ina arena, aquahouse na stadium apart! Hawa wana infrastructure bora kuliko sisi! huwezi ku-host games na ku-operate na ku-manage sport events ukiwa na facilities ziko apart, it will be damn costly! Na kama tunataka kuja ku-host CAF basi ni bora fedha tunazoenda ku-compensate watu Mwenge tukaangalia namna ya kuanzisha project nyingine ya ujenzi wa uwanja!



 
Mambo ya Iraq usiyakete kwa Ukraine.
 
Wawe neutral afu wapate nini mbadala? Ukraine ni Nchi kubwa sio sawa na hivyo Vinchi ulivyotaja havijiwezi kijeshi.

Yaani uuze uhuru kwa Wahuni? Haipo hiyo,mshindi apatikane vitani.
 
Wametushindaaa kabisaaaa wala usiwe na shakaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kindly please help yourself from this madness,
Najua ukweli huwa hampendi but that doesn't stop from posting them here😂

 
Nakumbuka tulikuwa tunaruhusiwa kwenda nchi zote duniani kasoro West Germany, South Korea and Israel kisa hawataki tuwe marafiki na wabaya wao kama Palestinian Authority, East Germany and North Korea tena tuliwaambia hamuwezi kutuchagulia marafiki kama hamtaki chapeni mwendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…