Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanajeshi wa marakeni mwenyewe asili ya kitanzania akieleza mapenzi yake juu ya Bongo flavor πŸ‘‡.
 
cha ajabu nn sasa hapa?
Nikiwa kama mtanzania na shabiki kindakindaki wa Bongo flavor nafarijika kuona muziki wetu unapasua anga internationally hasa pale ambapo mtanzania mwenetu he/she introducing our music to them westerners.. Our music is our culture.. kutambulika kwa muziki wetu duniani unamaanisha kutambulika kwa mtanzania duniani
 
Geza Ulole eliakeem sasa hivi hapa Nairobi nimeona trucks mbili kila moja imebeba pipes nne za chuma kubwa sana. Diametre pengine ni half a metre. Hizi pipes nashuku zinakwenda Uganda kwenye mradi wa Tilenga. Kwa bahati mbaya nimesahau kupiga picha. Lakini najua zitapita nyingi tu. Nitazipiga picha nikiziona tena.
 
Aibu imemkumba kafuta, muwe makini na hawa viumbe, ni wezi mno, ukiona kapost picha tofauti na zile zilizozoeleka humu jiridhishe kwanza, elimu yao imewafanya wawe watu wapuuzi, waongo na wasiopenda vitu vyao.
Ndio wanavyofundishwa mashuleni mwao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. wameidanganya sana dunia hawa wapuuzi
 
Kiwanda cha pipes kitakua Tabora au Shinyanga na kipo mbioni kujengwa
 

Kwani saa ngapi saa hizi. Usije ukawa unaota. Anyways, za kwenda Tilenga zinaweza kupitia Mombasa, ila baada ya kutoka katika mipaka ya Uganda, hilo sahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…