Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nitafurahi akiropoka! alivyo zero anajiona bado untouchable! halafu hata sheria halijui hapa inamaana alitumia madudu ya GSM kuwalazimisha wampe nyumba!
 
nitafurahi akiropoka! alivyo zero anajiona bado untouchable! halafu hata sheria halijui hapa inamaana alitumia madudu ya GSM kuwalazimisha wampe nyumba!

mim kama mwenyeji wa hilo eneo regent estate mikochen na wenyeji wenzagu tunajua kuwa eneo ni la makonda.. yan ukipita ukiuliza hii eneo ni ya nan unaambiwa ni kwa makonda.. ni kama kwako mgeni akiuliza hii nyumba ni ya nan unaambiwa ni kwa baba geza [emoji1787].. na aliipata kutoka kwa GSM (wenyeji wote tunajua hili).. makubaliano ya kupeana eneo hatujui.. lkn kwann saiz GSM ndo analitaka tena? hapa kuna mvutano wa team JK vs Magu..
afu dah ridhiwan ni naibu waziri Ardhi
kwenye hii ishu ..
  • GSM na makonda wote wanaficha walipeana eneo kwa sababu gani.. ila wote ni wachafu[emoji23]..
  • GSM kapata nguvu sababu ya utawala uliopo
 
wakimaliza hapo makonda na wenzie waje warudishe fedha walizokwapua Bureau de Change zilizofungwa! Maana kuna kesi inaendelea serikali inadaiwa na cha ajabu baada ya Account za Bureau de Change kufungwa fedha hazikupelekwa hazina yaani badala ya kutaifishwa zilibinafsishwa!
 
Wanafiki nyie,hiyo takataka yenu ya Russia ina faida gani hapa Duniani zaidi ya hasara..

Data hizi hapa

View attachment 2148309
Wewe ni mtoto mdogo, hujui lolote kuhusu ushiriki wa Urusi katika kipindi cha kugombea uhuru na baada ya uhuru, kwa kila waafrika 100 waliosoma Ukraine, basi Kuna waafrika 1000 waliosoma Urusi.

Maprofesa wengi na wasomi wakubwa hapa Afrika wamesoma Urusi, Ukraine imeanza majuzi kusomesha waafrika. Hujui lolote kuhusu Urusi na Afrika, tunakusamehe na kukuacha Kama ulivyo.
 
Mropokaji huyo achana naye.
 
Russia anampoteza mpenziwe Germany. Hizi nchi mbili zilipendana sana kibiashara. Sasa uhusiano huo wa kibiashara unakwisha polepole.


Effect na madhara ya hii vita kwa uchumi wa Russia unaweza kuwa mkubwa sana. Russia inabidi sasa imtegemee mchina kwa kila kitu.
 
Kugombea uhuru 😁😁😁.

Faida pekee ya hiyo takataka yenu ni kwenye silaha na mabomu nothing else.
 
Halafu Russia bado wanakaribia Kiev . Yaani wanapigwa lakini wana advance ? Vita lazima kila upande upate hasara lakini mwisho mmoja anashindwa
Mumekuwa mkisema kwamba wanakaribia Kiev kwa wiki tatu sana, kwani watafika lini?
 
Wasomi wengi wa zamani wakisoma urusi na Cuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…