Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona bado unaamini ktk GDP.
 
Mm nakwambiaje subiri uone new statistics, labda wao wavizie kabla ya kutoka nao watengeneze ya kwao inayowapa relief but kiukweli kabisa JNIA imeanza kuchangamka, kwa sisi ambao mara kwa mara mishe zetu zinaruhusu kukutana na JNIA tunaona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ghorofa 8 pale airport au wapi
 
🤣🤣🤣🤣
 
u r birds of the same feathers! wacha kukana mwenzio mliye-vote naye Yes pale UN! 😀😀😀
 
Na kuna ule wa abeid karume nao ni nomaa mzee
 
Ghorofa 8 pale airport au wapi
Yes kaka pale kwny eneo la wazi krb na kituo cha mafuta cha puma,TCAA ambao ni regulator wao hawana shida maana si upande unaoathiri kuruka na kutua kwa ndege ukiangalia runways designation!Inaoneka hata upande wa pili wa barabara umedumaa au unaendelea mdogo mdogo sana kwa ajili ya vikwazo kama hivi vya jiji na kuwepo kwa kambi ya jeshi!!haya ni mawazo yangu binafsi.
 
kama jengo litahatarisha usalama basi design ibadilike au hiyo kampuni iende upande wa Segerea yaani residential uwanja wa ndege wakajenge! Hiyo ndo solution!
 
Ni kweli kabisa pameanza kuchangamka kwa kasi sana!!!!!na unajua hii TB3 haikupata wasaa wa kutumika ipasavyo kwa sababu ya uviko maana limefunguliwa tu ugonjwa nao huo.
 
Aah mm naona wangejenga upande wa pili uku wa makazi ya watu na viwanda ile view ya pale airport wasizibe
 
kama jengo litahatarisha usalama basi design ibadilike au hiyo kampuni iende upande wa residential uwanja wa ndege wakajenge! Hiyo ndo solution!
Upande wa pili sioni dalili za kufanya hivyo mradi wenyewe ni wa PPP na ni lazima uhusishe eneo la airport!!!!shida investors wanaangalia Idadi ya vyumba vs jengo lenyewe ukipunguza idadi ya vyumba kwa makadirio yao ya faida ni tatizo! na mpango uliopo ni BOT Build Operate then Transfer! So hata design ya hotel yenyewe inatoka kwa mwekezaji!taasisi za serikali ni kupitia na ku-approve tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…