Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Russia vita anayoweza ni ya kupiga na kuwa raia. Lakini vita vya kupambana na wanaume wenzao hawawezi. Kazi ni Nubia is watu wasiojiweza.
yani muwape silaha raia alaf museme wasiuliwe ??? nani alimpa mamlaka ya kuwapa silaha raia ??? na nani aliidhinisha raia wapewe silaha ww unafkiri mrusi ni mjinga sana 🤣🤣🤣🤣
 
Kufa kufaana

Screenshot_20220310-191124.png
 
sijui mpaka lini wazee kama joto la jiwe na The best 007 wataamini kua kenya na tanzania hazipo kwenye ligi moja. kenya tuna sail kwa boat moja na south africa. sisi ni wakali kwa hizi kazi. Google Street views hadi ushago hadi kwa isimba ndani

nb: The best 007 atakuja tu kiamini sikumoja kua, maana ya nchi flani kua na gdp kubwa yani kila kitu inakua affected. ie. gdp size is directly proposing to 'anything and everything' in a given country

Screenshot_20220311-053235_Earth.jpg
Screenshot_20220311-053130_Earth.jpg
 
Back
Top Bottom