Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Propaganda za nchi za magharibi hizi mkuu, wanachagua habari za kurusha kama hizi za Russia kupigwa...ingekuwa USA imevamia tungeona habari nyingi za mashambulizi ya USA hata kama angekuwa anadundwa
 
Labda wanatafuta zinapotokea hizo drone hawawezi fanya ujinga bila sababu . Kumbuka vita inapigania ndani ya Ukraine sio Russia . Hivyo bado Ukraine wapo kwenye hali tete hawajaweza kumtoa adui
 
China anaenda kua wholesaler wa mafuta , urusi anabaki kuna manufacturer . Yaani hata thamani ya yuan inaenda kupanda . $ itapungua thamani yaani lazima ishake bila kupenda
Wewe ndio umeongea vizuri, Mchina na Mrusi walishajiandaa nia yao kubwa ni kuitikisa dollar.
Na ili dollar ibaki salama Marekani anatakiwa kutumia akili kubwa sana ikiwa ni pamoja na kutojiunga na hii vita.
 
source CNN 😂😂😂😂 wazee wa propaganda
 
hvi ww unafkiri russia vita wameanza jana au juzi ?? 🤣🤣🤣 ww sikuliza propaganda za kutengeza ila kisu cha mrusi kiko pale pale ndio maana unaona nchi za europe zinahangaika na vikwazo na hawatii hata pua kwenye vita
 
Mara midege kama yote na mingine iko njiani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…