Bei ya mafuta ikipanda huwa inapanda kila mahali duniani. Unless China akae chini na Russia na wasign contract kwamba China atanunua mafuta kwa bei ya chini. Ila kwa sasa bei ya mafuta ni $126 per barrel na hii bei ni global hata China itabidi inunue mafuta kwa bei hii hii. Bei ya mafuta ilikuwa chini ya $100 kabla ya vita kuanza.China hajazuia Russia consignment getting to China and as a matter of fact the two countries share the border!
sio kila mahali especially on this circumstance Russia will be looking where to sell her quota and the likes of China can really make a kill out of this crisis! Russia reserves can terrorize even the rest of OPEC members if the country decides to concentrate on China alone! The price r rising because of speculations on unrealiable supply n dwindling oil and gas reserves to the rest of big economies in Europe that r to sanction Russia and as a result the oil n gas availability uncertainity is triggering the immediate price fluctuation as supply is not secured! While Russia will definetly look to sell her oil n gas to the countries out of the sanction zone! BTW Iran is also sanctioned!Bei ya mafuta ikipanda huwa inapanda kila mahali duniani. Unless China akae chini na Russia na wasign contract kwamba China atanunua mafuta kwa bei ya chini. Ila kwa sasa bei ya mafuta ni $126 per barrel na hii bei ni global hata China itabidi inunue mafuta kwa bei hii hii. Bei ya mafuta ilikuwa chini ya $100 kabla ya vita kuanza.
we ng'ombe wacha kuni-quote una uelewa mdogo sana kwenye EU's n global top dogs na kwenye global money payment systems!Hiyo Unionpay iko EU au Uk or US Usiniambie iko china ambako Russia anaexport ya US3biln wakati mchina wanexport Russia kwa more $10bil.Mzani wa biashara ya Russia na China hauko sawa tofauti kati ya Russia na western Countries ambako Russia anaexport zaidi Gas na mafuta na yeye anaimport technology na sophisticated products .Mgogoro wa Western na Russia atakayeumia ni Russia.Western na some of eastern Countries watapata shida in short period but wanaalternative.US ana Gas nyingi na anaweza kumfungilia vikwazo Venezula akaimport mafuta ya kutosha.Gas atakaye pata shida kubwa ni France na German na eastern countries ambazo zinautegemezi mkubwa UK na Italy hawawezi pata shida sana kwa kuwa kiwango chao cha utegemezi ni kidogo.Italy anatumia pia kiwango kikubwa cha Gas toka Algeria.
China anaenda kua wholesaler wa mafuta , urusi anabaki kuna manufacturer . Yaani hata thamani ya yuan inaenda kupanda . $ itapungua thamani yaani lazima ishake bila kupendaBei ya mafuta ikipanda huwa inapanda kila mahali duniani. Unless China akae chini na Russia na wasign contract kwamba China atanunua mafuta kwa bei ya chini. Ila kwa sasa bei ya mafuta ni $126 per barrel na hii bei ni global hata China itabidi inunue mafuta kwa bei hii hii. Bei ya mafuta ilikuwa chini ya $100 kabla ya vita kuanza.
Asilie mtu ng'wee! Wacha Rais wa Ukraine bichwa lijazwe upepo!Na wageni na civilian walivyoruhusiwa kuondoka hadi Jumatatu Ukraine kutakua kuna majivu sehemu nyingi kabla rais wao astep down mapema. Siombei mabaya lakini urusi hawana huruma watapiga sana .
Halafu sijui kwa nini raisi wao asikubali matokeo anaomba NATO wafanye anga Lao no fly zone means ,They failed to protect by themselves. Akubali hili kulinda infrastructure zao
Naamini hivi vita kama vitadumu kama vile vya Afghanistan na sanction za EU kwa Russia zikabaki, China inaenda kuwa global economy number one! Halafu pia India hawaja-vote yes UN na hawako tayari ku-impose sanctions kwa Russia!China anaenda kua wholesaler wa mafuta , urusi anabaki kuna manufacturer . Yaani hata thamani ya yuan inaenda kupanda . $ itapungua thamani yaani lazima ishake bila kupenda
Hiyo vita iendelee endelee hapa pa gold patamu haswaaNaona vita inataka kutuneemesha huku View attachment 2142903
Mzee these things are serious. Mama anatutaarisha. Hii vita isipoisha mapema shughuli yake itakuwa sio ya kitoto.Yaani hii kauli inawapa motisha watu wapandishe vitu bei hata ambao uzalishaji wao hauusiki na mafuta!
Naona bado hajui mamlaka ya kauli ya Rais na effects zake!
You tell me why is it that dar is more than twice the size of nairobi but way less lights at night, coz facts dont lieNairobi ni ndogo kwa Dar mara mbili na ukweli ni kwamba Dar inawakaa taa mji mzima, kwahyo hata kama tutapata picha itakayoonyesha NAIROBI kwa ukaribu bado Dar itashinda kwasababu it's lager than Nai, sababu ingine NAIROBI ni green kwahyo maeneo mengi huwezi ona taa usiku alaf pia ndani ya NAIROBI kuna misutu, mbuga n.k .. sasa itakuaje iwake taa eneo kubwa kuliko Dar ilihali Dar hakuna pori wala msitu ni nyumba zimetapakaa mji mzima.. heb ona hapa 👇.. huwezi bishana na ukweli ambao unahitaji macho tu kuujuaView attachment 2143594View attachment 2143596
wee IamLee wachana na hako ka mutu.. yani kwamfano kwa macho yako wee unaona rangi ya samawati kisha mtu anakuja anakuconvince eti hio sio samawati bali nyekundu, hadi wee sasa unaamini eti ni nyekundu. ni hivo ndo huyu Sama boy 255 ana try kuYou tell me why is it that dar is more than twice the size of nairobi but way less lights at night, coz facts dont lieView attachment 2143743
wacha kuzingatia imaginary lines yani boundaries mzee, wee angalia extension ya built-up area, metro inclusive