Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiujumla watz hawajui chochote kuhusu Kenya.. Nyiny ndio mnajua Amber ruttView attachment 2142991View attachment 2142992View attachment 2142993View attachment 2142995View attachment 2142994
 
Weka ushahid, hko YouTube Nyiny ndio mnaofatilia mambo ya tz wabongo hawana chakufatilia kenya
 
Hii video ilifanya wakenya kuanzisha kampeni za kususia nyimbo za tz[emoji23]
 
Hii video ilifanya wakenya kuanzisha kampeni za kususia nyimbo za tz[emoji23]
Mziki huwezi susia ni ujinga tu mbona nazizi, wahu , nameless , prezoo na jua kali waliweza sikika kipindi hicho , au yule wily Paul alijulikana kiasi . Kwa mfano otile brown sijui hata nyimbo yake moja . Ukiimba vizuri utaoboa tu . Khaligraph Jones anajulika kiasi . Wengine siwajui kutoka kenya at least niliowataja nishisikiaga wakiamba . Sasa mziki wa kenya umeshuka nadhani wanaiga sana wasanii wa nje ndio maana hawasikiki
 
Walikua wanalalamika wanatufatilia halaf sis hatuna habari na wasanii wao.. Badae wakaibuka kina Erick akajikuta Mussa[emoji28]
 
Russia bila vikwazo ni moja ya nchi zilizoendelea sana despite na vikwazo bado ni taifa no 11 kwa GDP duniani.takataka unayozungumzia ww ni ujinga uliokujaa kichwani. Russia gdp of more than $1.4trill na pop ya 140M hawa watu wameendelea mara ngap zidi yenu?poor kenyan
 
Chukua GDP ya jirani which is said to be $109 billion alafu ugawanye kwa GDP ya mrusi 1.4 trillion 😂😂😂 hawa wapumbavu wa Kenya wanajikuta akina nani hasa.?
 
Wewe wacha ujinga. Wapi hapo amelinganisha Russia na Kenya? Mbona una akili maji hivyo? Yeye amelinganisha Russia na nchi hizo zilizowekwa kwenye list. Na huyo Mkenya yupo 100% correct kwamba Russia ni takataka ukiilinganisha na hizo nchi zilizo kwenye hio list. Usiweke maneno kwa mdomo yake. Hakuwa analinganisha Russia na Kenya. Tumieni akili wakati mwingine. Point ya huyo BlietzKrieg ni ya Ukweli kwamba Russia bado ni middle income country na nchi zote ambazo ziko kwenye hio list ni developed countries. Hapo anadanganya wapi? Mpinge kwa point aliyotoa sio kumpinga kwa point ambayo hakusema.
 
Chukua GDP ya jirani which is said to be $109 billion alafu ugawanye kwa GDP ya mrusi 1.4 trillion [emoji23][emoji23][emoji23] hawa wapumbavu wa Kenya wanajikuta akina nani hasa.?
Yani kenya 12.8 ndio urusi moja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanakosa adabu sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…